Kwangu hata uwe na sura nzuri

Kwangu hata uwe na sura nzuri

Mungu akaona kazi yote aliyoifanya (yaani uumbaji) ni njema sana!!! nyie kosoeni tu, ila mjue aliyeumba amewaumba kwa jinsi ya ajabu na ya kupendeza, wewe ni nani hata umkosoe Muumba wa mbingu na nchi kwa kuikosoa kazi yake??
 
Halaf mara nyingi tunakuwaga hatujioni wenyewe, kuna lishkaji langu huwa linajifanya sharobalo kwelkwel lakini likivua soksi uvundo wake unaweza ukasababisha mimba changa kuhalibika.
NNimemaliza
 
Different Strokes....
:yo:
Hukatazwi kupenda kile unachopenda, ila kusema / kupaka kile usichopenda mbele ya watu... !!!

Not Cool :nono:
 
huyu amenikumbusha sista du mmoja alikuwa anadis watu wanaonuka midomo eti ni wachafu sana.. Sasa siku moja kwa bahati mbaya nikagundua kwamba dauni yake inatema ni balaa...

Bora umewambia maana hawajui maana ya kupenda,maana kupenda kunaitaji uvumilivu na hakuna mkamilifu! yani nimeshangaa sana
Na wanaotema down ni wengi usione sura nzuri lakini noma! tunachofanya ni kuvumiliana tu!
 
Mmmh hapo hata mimi umenigusa kwakweli. Hapa namwomba hata Mungu anisamehe tu cse hakuna mtu ninae muogopa kama mwanaume mwenye vidole vya miguu na mikono mikubwaaa na kucha panaa!! Huyo hata akisema tu anisalimie kwa kunishika mkono naweza kupoteza fahamu gafla.


ahahhahhhahha kazi kwelikweli!
 
Mungu akaona kazi yote aliyoifanya (yaani uumbaji) ni njema sana!!! nyie kosoeni tu, ila mjue aliyeumba amewaumba kwa jinsi ya ajabu na ya kupendeza, wewe ni nani hata umkosoe Muumba wa mbingu na nchi kwa kuikosoa kazi yake??


Well said Mrembo! Mungu ndiye mfinyanzi wetu sote, na hutufinyanga kwa namna impendezavyo yeye na si vinginevyo.
 
jamani kwa nini mnakosoa uumbaji wa mungu..hakuna aliyejiumba
hivyo hatuna budi kuusifu na kuutukuza :tape2:
 
we mtoa mada omba uwe mzee,umezaa kufikia kikomo nakwambi,,mwanao atakuja kua na kasoro kuliko hata hizo.wewe km umekamilika unapaswa kumshukuru Mungu cio kutoa kasoro wengine c ajabu we mwenyewe mguu wako kama chapati maana cku zote nyani haoni kundule looo
 
Mungu akaona kazi yote aliyoifanya (yaani uumbaji) ni njema sana!!! nyie kosoeni tu, ila mjue aliyeumba amewaumba kwa jinsi ya ajabu na ya kupendeza, wewe ni nani hata umkosoe Muumba wa mbingu na nchi kwa kuikosoa kazi yake??

Umenena vyema! mungu akusaidie upate mume mwema!
 
Hivi huyu mtoa mada ni jinsia gani? Maana ID yake inaashiria 'f' alichoandika kinamwashiria 'm'.
Nimewahi kutoa ushauri hapa, na leo naurudia; Unapoleta hapa uzi wa kiliponda kabila flani, anza post yako kwa kujitambulisha wewe ni kabila gani, maana si kabila lako zuri?? Liweke hapa usilionee aibu.
 
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.
Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia. Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.

nimecheka sana, Aisehhhh!
image.jpg Sura

image.jpgMakanyagio


​
 
Mmh!
Nisije nikasema sana nikapata laana kwani haya mengine ya maulana.
 
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.

Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia.

Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.



Hii topic nahisi inanihusu sana mie,maana nasura nzuri sana ila kucha sina kabisa yani mbayaaaaaa.Ila Mungu kanijaalia 6x6 utamu wa ajabu,yani mwanaume haniachi mpaka nimuache mie.
sasa kama wewe umeweka kucha mbele basi utapata kiburudisho kwenye hizo kucha.Mungu alituumba kwa mfano wake,usikosoe kiumbe cha Mungu.
 
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.

Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia.

Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.

Mi nahisi wewe tu ndiye unaye kagua kucha,kama ukipenda ndugu yangu ata mtu awe na kasoro gani kamwe hautakaa uiyone.
 
Jamani ombeni usije ukakutana na sisita kanywa karoraiti imemkubali ila ikaishia huku juu tu wee ukiangalia hiyo miguu utadhani katumbukizwa kwenye ndoo ya oil chafu sasa demu wa aina hiyo ukiwa naye kunako sita kwa sita kweli hisia zitakuja kweli? maana hapo utakuwa na watu wawili kitandani mmoja mweupe mwingine mweusi sasa sijui utavuta hisia za yupi:A S 39:
 
Back
Top Bottom