Kwangu hata uwe na sura nzuri

Kwangu hata uwe na sura nzuri

Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.

Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia.

Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.

umefanya nini sasa?

mbona umebugi na wewe?

hiyo ni lafudhi!! sio RAFUDHI!

jinga sana wewe! wanawake wangapi wa mkoa wa mara umetoka nao btw?
 
huyu dawa yake ni kumwekea kucha za bandia
 
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.

Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia.

Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.

pole sana na hongera pia kwa maono yako.
 
hahahaha....unacheka kengeza wakati unachongo. Kweli nimeamini kunya anye kuku.............
 
Back
Top Bottom