Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia mafanikio yangu?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,737
11,095
Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia maisha na haya mafanikio yangu kidogo niliyonayo afya njema aliyonipa Mungu. Eti kwakuwa mzazi au mlezi wangu hana, mafanikio kama ya kwangu. Huu kwangu ni ubinafsi tu na ninaamini kila mmoja ana bahati zake katika safari yake ya maisha.

Mfano Diamond v/s mzee Abdul, mwanamuziki Diamond mpaka kufika pale sisi wenyewe tumejionea kijana wa watu anakata mauno mpaka muda mwingine unamuonea huruma. Mimi sihitaji kuifahamu historia ya mzee Abdul.....ila Diamond ana haki ya kufurahia mafanikio yake hii leo.......

IMG_20231114_123647.JPG
 
Back
Top Bottom