Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,474
- 29,186
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.
Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.
Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.
Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.
Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.