Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
- Thread starter
-
- #21
Kalibu tububujikwe na machozi ndugu yanguSijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.
Kijana mi napeleka motoMke mtarajiwa wa Ridhiwan Kikwete unafurahia kwa vile aliyekuwa kikwazo kwa mumeo mtarajiwa kuja kuukwaa Urais amepunguzwa makali. Baba mkwe wako mzee JK ni mkali wa hizi kazi za kupiga fitna.
Tujuze na sisi tulioshindwa kuelewa hii fake IDHatimaye tumegundua ww ni nani kujificha nyuma ya fake ID!
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺTujuze na sisi tulioshindwa kuelewa hii fake ID
Oya wewe kiazi yule sio level zako jiangalie kijanaushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺOya wewe kiazi yule sio level zako jiangalie kijana
Tuliza kishuzi hicho, huna hatimiliki ya hayo majina.Sijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.
Hapa ni mwendo wa kububujikwa na machozi tuTuliza kishuzi hicho, huna hatimiliki ya hayo majina.
Madhara ya multiple IDs ndio haya unaandika huku unajijibu huku dustbinSijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.
Ngoja ahujumiwe tu, Hana tija yoyoteLucas Mwashambwa
Watu mnapenda kucopy vya watu hata sio sawa.
Moderator hii sio sawa nasimama na shemegi angu chawa mwandamizi Lucas
Sorry unajua duniani watu wawili wawili nimekufananisha na yule chawa mbobevu Lucas Mwashambwa.Kijana mi napeleka moto
UwiiiUtofauti kati ya ubongo wako na mavi Yako ni harufu tu
Sawa kiongozi majina yetu yametaka kufanana kidogo tuSorry unajua duniani watu wawili wawili nimekufananisha na yule chawa mbobevu Lucas Mwashambwa.
Acha upumbavu wako hapa wewe. Kwanini usitafute Jina lako?Sawa kiongozi majina yetu yametaka kufanana kidogo tu
Labani og Siokweri kua kapoteza mvuto kumbuka jiwe alimtumia ilikuirudisha tanesco na ile misimamo aliomupa .Hata saa100 nae alimupa kitengo kwaajiri ya kukamilisha kitu frani na ku Mweka bench kulikuja baada ya janja watu kuanza kumwandaa Kama mgombea ugumu # Huyu janja usimimpe time ya kujielezea chapu anakuteka.huyu anajiweza na ana miradi mingi mikubwa ukiambiwa unaweza kimbia hivyo mutu Kama ndugu Lucas mwashamba kumu diss kiaina nikujitekenya naninashangaa vijana hatupendani tunataka wazee watuongozeNimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
J Makamba ana kipaji cha utapeli hivyohivyo unavyoona hana mvuto ila usimpe dakika ya kujitetea utamuona malaika , ni mzee wa fix nyingiDaah sijui Kwanini makamba kapoteza mvuto ghafla now days ......
Zamani January makamba alikuwa na mvuto wa pekee Hadi akaitwa presidential material
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hilo lijamaa halijitambui kabisa. Limejiunga leo kwa kutumia ID inayofanana na jina langu. Sasa nashangaa imekuwaje Jamii Forum waruhusu kitendo cha aina hiyo kufanyika. Hii ni kutaka kunichafua . Lakini pia ni kushusha hadhi na heshima ya jukwaa hili.Madhara ya multiple IDs ndio haya unaandika huku unajijibu huku dustbin
πππNimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Wacha ubwege wewe kilaza, huyo jina lake ni Lucas mwashamba na wewe ni Lucas Mwashambwa tatizo liko wapi au unayo hati miliki wa hayo majina yote?Acha upumbavu wako hapa wewe. Kwanini usitafute Jina lako?