Kwako Kasinde

Hahaha...haya Kasie...

Aight one!!!

 
Hahaha...haya Kasie...

Aight one!!!

Thanks, umekubali eeeh.
Safi, haya Iftar njema najua umepewa mualiko ila sijui ni lini
uende umevaa kanzu hata kama wewe sio mfungaji hehehheee (uchokozi mmenifundisha wenyewe wewe na pacha wako, mtakomajeee)
Usinitie aibu kuvaa kanzu na viatu vya kufunika, uvae sendoz ila sio ndala wala yame malapa makubwa sendoz za leather looh
Kasie.
 
Hahaha...mbavu sina

Sio kuwa nimekubali, lah nimeamua tu niwe mpole maana waendelea kukosea zaidi...

Hapo kwenye mavazi ya shughuli nitakuachia hiyo kazi unichagulie...

Maana najua utanichagulia kitani safi ya kanzu na hizo sandals za leather bila kusahau ulemba wa kiarabu ule...

 

Muone kwanza unajifanya mjanja eeehhh.......... Ndo maana sukari ya warembo wa JF

We ngoja tuu kesho ntakusurprise hapo ofisini kwenu, we ukiona yule muuza matunda wa pale kanisani anakuja kimbia maana nakufungashia parcel mida ya lunch na asipokukuta anaiacha kwa wenzio ukirudi unakuta mzigo wako.
 
huyo paka wako amenitisha khaaa, naogopa kung'atwa
Kasinde wala usiogope, huyu ni paka kwa ajili ya ulinzi wa kukulinda. Wala asikutishe bibie. Nitakupataje mrembo, nikija pm utanipa ushirikiano?
 
hahahahhaaaaaaaa gari sio issue issue ni............
Hahaaaa! Nimemwambia hivyo maana crush nyingi (zako) huwa zinaanzia kwenye traffic congestion

Sasa sijui micheweni kuna traffic jam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…