Kwako Kaka William Malecela


Nadhani una-matatizo mengi siyo lugha pekee ingawa lugha ndio unalolijua kwasasa! Kwanza soma vizuri hoja yangu haiongelei mtu, wewe akili yako inamwaza Willy, ongelea tatizo ndipo utajua pakuanzia lakini kama upo hapa kujadili mtu nadhani haupo sawa Mkubwa, tazama umefikia hata kufunga mjadala wako kusema kuna 'sample size' unataja hadi jina la RIzi! ukitaka kuongea sample kwa maana hoja kuwa wapo wachache hunabudi kutaja ipi ni sample kubwa unayodhani itakufurahisha! na utueleze hiyo size unayotaka unairejea wapi.

Husijifanye kujua wapo wanaojua zaidi yako humu ndani! we toa mchango wako nakushauri weka mjadala wako kulenga tatizo siyo ukubwa na kujadili mtu kama mtu, kama unamtumia mtu mtumia kama jukwaa. Pia ukisha weka mtazamo wako katika kujadili tatizo uje na hoja pia niwakati gani kwa uelewa wako ukubwa wa tatizo fulani linaweza kuchukuliwa kama tatizo! au hilo tatizo unataka liongelewe likiwa na ukubwa wa aina gani? (wewe unaita sample! hata hujui maana ya sample sijui umesoma wapi wewe)
 

- Mkuu kwani katiba inasema nini kuhusu CCM kushinda na wapiga kura Millioni tano, maana tuongee kisayansi kidogo!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu kwani katiba inasema nini kuhusu CCM kushinda na wapiga kura Millioni tano, maana tuongee kisayansi kidogo!

William @ NYC, USA.

Kisayansi? Katiba iliyotungwa na wezi ndio sayansi? Ivi wewe ijapokuwa unachukia ufisadi uliopo ccm bado umefurahi kitendo cha wao kuiba kura na kushinda?
 
- Mkuu kwani katiba inasema nini kuhusu CCM kushinda na wapiga kura Millioni tano, maana tuongee kisayansi kidogo!

William @ NYC, USA.
William katiba ipi unayoiongelea? Kama ni hii tusipoteze muda kuijadili, ni usanii mtupi

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kisayansi? Katiba iliyotungwa na wezi ndio sayansi? Ivi wewe ijapokuwa unachukia ufisadi uliopo ccm bado umefurahi kitendo cha wao kuiba kura na kushinda?

- Katiba ilitungwa na Mwalimu, unasema alikuwa mwizi? Acha hiz mkuu!

William @ NYC, USA.
 
 
- Katiba ilitungwa na Mwalimu, unasema alikuwa mwizi? Acha hiz mkuu!

William @ NYC, USA.

Unamaanisha nini unaposema katiba ilitungwa na Mwalimu? Do you honestly belive that it was one man show? Au unatuchezea ile santuri ya zilipendwa inayoenda...Zidumu Fikra Sahihi Za......
 

Tatizo ni kuwa kama una ni pima mimi kwa standard yako basi ujue jinsi uonavyo ndivyo ulivyo! Ukiona matatizo thats a reflectin of who you are kwamaana mtu husema kile kiujazacho moyo wake na huona kile ubongo wake unavyoweza ku reflect. To help you am not your mirror for you to see how you look like ukifanya hivyo you will end up being a looser in life! I am who I am not a copy or a duplicate of any under sun a very unique being and a particular personality thats why am called Ame and not Arafat; Tchao!
 
Unamaanisha nini unaposema katiba ilitungwa na Mwalimu? Do you honestly belive that it was one man show? Au unatuchezea ile santuri ya zilipendwa inayoenda...Zidumu Fikra Sahihi Za......

William hana maana hiyo. Maana yake ni kwamba ilitungwa kwa ushawishi mkubwa na matakwa ya Mwalimu Nyerere ambaye kipindi hicho, tutake tusitake, alikuwa anaona mbali kuliko wengine. Sifa kuu ya Nyerere, hakuwa mwizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…