Kwako Dinazarde: Mambo ya Jokes.

Kwako Dinazarde: Mambo ya Jokes.

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Halo dadangu Dinazarde. Hujambo? Ninayoandika hapa yalistahili yawekwe kwenye PM
lakini wewe hukuchagua hivyo; ulikuwa na sababu nilizozielewa!
Napenda kukupongeza kwa kuwa mdau mzuri sana kwenye jukwaa hili kwa michango moto moto ya jokes
unayotoa hapa kuanzia 2/4 mpaka sasa na hasa siku ya 7/5/2014. Jokes zako zilinifurahisha sana mimi na hata wadau wengine kulingana na ma-likes mengi uliyorushiwa. Moja ya jokes zako niliyoipenda sana ni ile ya: "Mambo ya Uswazi".Pamoja na kuipenda sana hii joke, nililalamika kwamba ulipunguza ladha yake kwa kuweka conclusion kwenye joke yenye maneno: "Baba Kidawa hooii" Maneno haya yanamnyima msoma joke kufikiria anachokitaka.

Kwa mawazo yangu, joke haitakiwi kuwa na conclusion au ufafanuzi wa aina yoyote. Joke nzuri ni ile inayomwacha msomaji huru ku-imagine hatma ya matukio kwenye joke. Tazama jokes hizi za wenzetu KUHUSU WATOTO. Ni maelezo tu hakuna conclusion au summary yoyote yet jokes ni powerful sana.
Maoni yangu mengine kuhusu joke ni kwamba joke hitakiwi kukejeli au kuzungumzia maumbile ya watu. Joke ya namna hiyo inawafanya watu kuudhika. Hapa jukwaani kwa mfano zimetokea jokes kuhusu sura za Mh. Mizengo Peter Pinda na Stephen Wassira. Sikuona likes zikitolewa kwenye jokes za aina hii. Kwa hiyo tuache kutoa jokes zinazokebehi sura au maumbile ya watu!
Kwa hiyo dada Dinazarde naomba niishie hapo kwa leo. Kama utakuwa na lolote weka kwenye comment ya thread hii.
Nakutakia kazi njema.
shieka.
 
Last edited by a moderator:
Haya shukran kwa ushauriiii SHIEKA
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmhhhhhhhhhhhh umaarufu upii

Mpaka unafikia kiasi unafunguliwa uzi wa pongezi .Pongezi kwako mkuu .Ngoja na mimi nijitahidi kuanzisha thread zenye mshiko ili nije kuwa maarufu sana kama Mzizi Mkavu Excel Na Wengineo .Lakini nashangaa siku hizi nazuiwa kuanzisha maada.
 
Halo dadangu Dinazarde. Hujambo? Ninayoandika hapa yalistahili yawekwe kwenye PM
lakini wewe hukuchagua hivyo; ulikuwa na sababu nilizozielewa!
Napenda kukupongeza kwa kuwa mdau mzuri sana kwenye jukwaa hili kwa michango moto moto ya jokes
unayotoa hapa kuanzia 2/4 mpaka sasa na hasa siku ya 7/5/2014. Jokes zako zilinifurahisha sana mimi na hata wadau wengine kulingana na ma-likes mengi uliyorushiwa. Moja ya jokes zako niliyoipenda sana ni ile ya: "Mambo ya Uswazi".Pamoja na kuipenda sana hii joke, nililalamika kwamba ulipunguza ladha yake kwa kuweka conclusion kwenye joke yenye maneno: "Baba Kidawa hooii" Maneno haya yanamnyima msoma joke kufikiria anachokitaka.

Kwa mawazo yangu, joke haitakiwi kuwa na conclusion au ufafanuzi wa aina yoyote. Joke nzuri ni ile inayomwacha msomaji huru ku-imagine hatma ya matukio kwenye joke. Tazama jokes hizi za wenzetu KUHUSU WATOTO. Ni maelezo tu hakuna conclusion au summary yoyote yet jokes ni powerful sana.
Maoni yangu mengine kuhusu joke ni kwamba joke hitakiwi kukejeli au kuzungumzia maumbile ya watu. Joke ya namna hiyo inawafanya watu kuudhika. Hapa jukwaani kwa mfano zimetokea jokes kuhusu sura za Mh. Mizengo Peter Pinda na Stephen Wassira. Sikuona likes zikitolewa kwenye jokes za aina hii. Kwa hiyo tuache kutoa jokes zinazokebehi sura au maumbile ya watu!
Kwa hiyo dada Dinazarde naomba niishie hapo kwa leo. Kama utakuwa na lolote weka kwenye comment ya thread hii.
Nakutakia kazi njema.
shieka.

Wewe SHIEKA utakuwa umetumwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom