Kwako Arabela.....

Mwezi ni mzuri lakini uko mbali,
Dhahabu ni nzuri lakini thamani,
Binadamu ni wazuri wengi hawana imani,
Lakini Arabela wangu weweee Masha'allaah!

ahsantee sis hata wewe wa thamani sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Imekuwaje mpaka kufikia hatua ya kumuita mume ilihali familia hatujui?
Wewe ndo tumekulea hivyo?

Sijaupokea kabisa huo utambulisho!

zubedayo come dis way umeona my sis hajakubali utambulisho please come ujibu tuhuma
 
Imekuwaje mpaka kufikia hatua ya kumuita mume ilihali familia hatujui?
Wewe ndo tumekulea hivyo?

Sijaupokea kabisa huo utambulisho!

zubedayo come dis way umeona my sis hajakubali utambulisho please come ujibu tuhuma

Mi nadeal na wewe mdogo wangu, huyo zubedayo simjui.
Haya nijibu ulikomuokotea huyo baunsa wako.



Dada mtu nakuomba tuyaache hayo kwanza tutayajadili baadaye kifamilia,la muhimu hapa tuhakikishe Arabela anashinda kinyang`anyiro hiki.Nawaombeni tuunganishe nguvu ili mambo yazidi kuwa mazuri kwani wapinzani wetu wameshaanza kulalamikia upungufu wa kura na kusahau kuwa walicheza rafu.Na sijui baadaye watakuja na mbinu gani...Nawaomba sana ndugu zanguni tuwe pamoja katika hili ili tumpatie Arabela zawadi nzuuuri ya kuanzia mwaka 2013 akijua wazi kabisa kuwa wapo watu wanaompenda kumjali na kumtakia mema na mafanikio maishani mwake...
 
Last edited by a moderator:

Damu nzito mkuu!
Asante kwa kunikumbusha.

Jamani ambao bado hamjapiga kura . . . .milango i wazi. Arabela anasubiri kura zenu.
 
Last edited by a moderator:

ahsante umeokoa jahazi nlikuwa naelekea kupewa kichapo na sis
 
Last edited by a moderator:
ahsante umeokoa jahazi nlikuwa naelekea kupewa kichapo na sis



Halafu hebu nisaidie bosi wangu,mbona kama naanza kumpendapenda dada mtu,ni nini hii...
NB: Ukisoma futa asije akaona ....
 
hureeee Cookie ,you are my friend




Kaka muda wa kushangilia bado kaka,kaza buti safari bado ni ndefu mpaka 31/12.Wenzetu wamegundua mbinu ya kupiga kampeni kwa wageni na kufungua multiple Ids na wanataka kuhakikisha wageni wanaojiunga sasa hivi hawapigi kura.Hayo tutateta zaidi PM..
 
Mwezi ni mzuri lakini uko mbali,
Dhahabu ni nzuri lakini thamani,
Binadamu ni wazuri wengi hawana imani,
Lakini Arabela wangu weweee Masha'allaah!

kipipi umesema lako toka moyoni, urembo wake arabela chit chat ataipa thamani, najua ushindi ni wake yeye namba wani, kipipi nami slave ushindi twautamani, na wengine twawaomba tupige kura za ndio.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…