Kwako Arabela.....

Punguza wivu basi,mbona jina lako halipo katika huo ushahidi ulioweka hapo..??Nisijekuwa nimemletea Arabela wangu matatizo bure.Mimi nimemsifia kwa nia njema tu,Umeshampigia kura lakini..??

kanisifia kwa nia njema tu hakuna agenda ya siri
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanalalamika eti kura zao zinapungua,Hakikisha tunalinda kura zetu. Kaeni inchi mbili toka kwenye poll
 

Mwezi ni mzuri lakini uko mbali,
Dhahabu ni nzuri lakini thamani,
Binadamu ni wazuri wengi hawana imani,
Lakini Arabela wangu weweee Masha'allaah!
 
Last edited by a moderator:

Atakae iba kura za mywife ahame nchi ntapiga eruptive ban..
Alafu Ngumi 1 kwa kila muhusika na Risiti juu....
 
Last edited by a moderator:
Atakae iba kura za mywife ahame nchi ntapiga eruptive ban..
Alafu Ngumi 1 kwa kila muhusika na Risiti juu....



Ni hapo sasa na hivi nimesikia sasa hivi faini ya ngumi imeshuka toka 50,000/= mpaka 30,000/= imekuwa raha kweli,anapewa ngumi mbili na wekundu wa msimbazi sita hakuna kesi...
 

Nimekukubali Slave
 
Last edited by a moderator:
Ni hapo sasa na hivi nimesikia sasa hivi faini ya ngumi imeshuka toka 50,000/= mpaka 30,000/= imekuwa raha kweli,anapewa ngumi mbili na wekundu wa msimbazi sita hakuna kesi...

Mi napga special fist...ukipgwa huvimbi mpaka baada ya wiki 2 haina ushahd....
 
Alafu wewe huyo ndo mume wako?
Kwa ndoa ipi na mlipatana lini??

Mie mbona sina taarifa?

eeh sis ndo huyo shem wako. Kumbe hamumtambui familia? Basi am sorry nakutambulisha rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…