Kwako Arabela.....

Yule baunsa anaetembeaga toka kimara hadi kariakoo!? Sijamuona masiku kibao hapa ndani, hajaonekana hata kumpigia kampeni mkewe

yani simuoni hatakujafanya kampeni wala kupiga kura
 
mtakatifuuuu ahsante sanaaa yani sifa zooote hizo ninazoo dah yani katika siku ulizonifurahisha ni leo

hakuna kitu kizuri duniani kama kusifiwa japo huwezi amini kuwa sifa zote zako na zinakustahili ila ukweli ndo huo. U mrembo mtoto wa kinyamwezi mrefu twiga hata mtembeo wako usio na pupa nao ni sababu ya kusifiwa.
 
Umeona eeh!

Oli mulungi Nnyabo!

Jamani binti anastahili kabisa.
Mpigie kura yako sasa!
 
jamani nimetafuta sehem ya kupigia kura sioni.baba v nipe link chapchap.
 
jamani nimetafuta sehem ya kupigia kura sioni.baba v nipe link chapchap.

Kuna mada imefunguliwa kuhusu miss chit chat 2012,juu kabisa kuna majina na unaweza kuingia hapo kisha unamchagua Arabela maisha yanaendelea .Mia kwa hisani ya figganigga..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…