thalostchild
Member
- Apr 16, 2015
- 79
- 23
Pokea hili kuna shele ya msingi inaitwa king'ongo primary iko GobaMatosa .
Hi shule inahitaji jicho lko kwa ukaribu sana kuna mambo ynaendelea huku ya ajabu walimu wana kaz zao binafc kuendesha Boda Boda na kukuta miti mida ya kzi tunashinda kuelewa vipi mida ya masomo yafanyike hayaa .
Sent using Jamii Forums mobile app