ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,785
- 1,317
wapedwa za jion hii,wadau nimekuwa nikitatizika ndani kwa ndani nimeona leo niilete hii kitu hapa.hakuna harusi wala kitchen party na send off zinazofanyika bila kuwekwa hii kwaito. hivi huko kwao wanapiga nyimbo zetu kwenye sherehe zao?kila kitu tunaiga hata utamaduni wa southafrica tumeucopy na kupaste kwenye harusi zetu jamani yaan kwaito imegeuka sheria kwenye kila harusi.kwa walio oa /olewa hii miaka ya karibun hii kitu imewatokea. wapi msanja,mdundiko,mdumange na nyinginezo?inaniumaje sasa bibi / bwana harusi wanafanyishwa mazoezi ya kwaito eti wasitie aibu na ni ushamba wakati wimbo wa taifa hawaujui. wadau mawazo yenu yanahitaji tafadhali...
sisi kwetu litungu kama kawa hiyo kwaito ni huko kwenu.
Mkuu kuna nyimbo inaimba....ZUNGUKA,ZUNGUKA..ZUNGUKA, ZUNGUKA...... aisee mpaka inachosha.kila harusi ndio maharusi wanaingilia ukumbini. Siku hizi huwa nachelewa kuingia ukumbini....natime saa ya msosi ikifika.Ni fasheni tu, itapita!#
Umesahau nibebe au nimekuchagua wewe? Siku hizi sizisikii!
Mdundiko ukumbini?? acha utani
Mkuu kuna nyimbo inaimba....ZUNGUKA,ZUNGUKA..ZUNGUKA, ZUNGUKA...... aisee mpaka inachosha.kila harusi ndio maharusi wanaingilia ukumbini. Siku hizi huwa nachelewa kuingia ukumbini....natime saa ya msosi ikifika.
umesahau rirandi, kighoghohttps://www.facebook.com/photo.php?v=551632624872740&set=o.276158522424453&type=2&theater#sisi kwetu litungu kama kawa hiyo kwaito ni huko kwenu.
natamani niwaone mnavyoserebuka ki nyumbani nyumbanina lizombe na kioda!
we wacha kabisa!
japo sijaiona ila naitamaniumesahau rirandi, kighoghohttps://www.facebook.com/photo.php?v=551632624872740&set=o.276158522424453&type=2&theater#
upepo tu utapita
Shostii Masaa-el-heri, kwani kwaito ina chezwajee ? au ni ya aina ipi? Tafadhali hata kapicha nipate taswira. Shukraan!japo sijaiona ila naitamani
Kuna kamsemo ka zamani..."Afrika ni moja"
Mbona ndombolo ya Solo ilichezwa sana?