Mambo SL? mbona unamfukuza jamani,si umbembeleze akae,labda anaweza kutugaia kidogo pettycash.Fika salama.
Mambo SL? mbona unamfukuza jamani,si umbembeleze akae,labda anaweza kutugaia kidogo pettycash.
Mi hata sijaelewa anaenda wapi. Sitaki tu aende.duh, hata kurudi home daily tunaambiana Bon Voyage?
Na bado itafika mahali hata mtu akienda toilet ataagaduh, hata kurudi home daily tunaambiana Bon Voyage?
Na bado itafika mahali hata mtu akienda toilet ataaga
Mi hata sijaelewa anaenda wapi. Sitaki tu aende.
Kuna mtu humu aliaga anaenda, na akaenda kweli.
Toka hapo mi nisha kua traumatized mwenzenu.
Hivi kule ban ulikua unakunywa nini? mbona kama umesahau?nani huyo aliaga na hakurudi tena?
Ni mwezi mmoja sasa tangu Ivuga aondoke...na hakuondoka kwa bann....Hivi kule ban ulikua unakunywa nini? mbona kama umesahau?
Una siku ngapi hujamtia Ivuga machoni?
Sio saaaaaaana, lakini JF imekua tu tofauti bila yeye.Ni mwezi mmoja sasa tangu Ivuga aondoke...na hakuondoka kwa bann....
Umemmiss sana eeeeh?
Hivi kule ban ulikua unakunywa nini? mbona kama umesahau?
Una siku ngapi hujamtia Ivuga machoni?
Hahahaaaa Mwali huwezi kusema tu ila ukweli ni kwamba tumemmiss sana....Sio saaaaaaana, lakini JF imekua tu tofauti bila yeye.
Hiyo bone marrow nayo ilileta shida. Kuna member alikuja na jina hilo,aisee kule ban kubaya sana
kunakula bone marrow ya ubongo.
Maskin Ivuga wetu hajarudi
ila ulimringia sana hata salaam binti weye!!!
Hiyo bone marrow nayo ilileta shida. Kuna member alikuja na jina hilo,
Si unajua watu wasivo kawia kujipanga? akapigwa ban siku ile ile. lol
Ivuga ndie alichanganya mambo bwana, mwache akapumzike kwanza.
Mwache aende bana!Mambo SL? mbona unamfukuza jamani,si umbembeleze akae,labda anaweza kutugaia kidogo pettycash.