Kwaherini nahamia sudan ya kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwaherini nahamia sudan ya kusini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by tz1, Jul 8, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nimechoka na bongo,ila nitarudi 2015.
   
 2. l

  lumimwandelile Senior Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  niko njiani kukufuata. nimechoka na mambo ya tz, umeme shida, maji shida, chakula bei, mafuta bei juu yani hovyooooo
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu ukifika ni email mimi nitakuwa tayari mwenyeji.email yangu ni,Mafisadi@ccm.co.tz
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  wow, hiyo bendera yako tu imenichosha, yaani ccm miguu juu siyo??

  halafu email ndio usiseme

  Andaa makazi tupo wengi nyuma yako
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wote mnakaribishwa
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  hata mimi nakuja, usiniache
   
 7. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mm nipo juba hapa john Garang Road
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Juba itakuwa JUBAI,tayari nina frame,na ntakuwa promota wa muziki wa bongo fleva,Zito kwenye wall yake kasema kaskia wimbo wa Ali kiba USINISEME
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Keep me posted...Naweza kuja huko huu umeme ni balaa
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280

  naomba sana tuwe serious,haya mambo ya sudan yanafanyiwa kazi na watu wengi,naomba taarifa zote ziwe za uhakika
   
 12. T

  The Priest JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Usiage mkuu,hata kule sudan,utaweza kuaccess jf kama kawa.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  nakutumia dear......cha kushangaza ni kwamba sasa hivi hao jamaa watatupita kwa maendeleo kama utani vile....ngoja tutaona
   
 14. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nami pia nimo naja huko siku si nyingi. Hali ya bongo ni mashaka bora wenzetu wana tumaini jipya. Heri yao!!
   
 15. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,950
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Kweli ndugu, na tuanze biashara ya wese coz inalipa sana hapa tz.
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,254
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Aaaaah mbona wote mtaniacha? ndugu ukifika huko nitafutie kachumba kamoja pa kulala nianzie maisha kul utakakokwenda ndugu yangu!
   
 17. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,938
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  maisha ya kukata tamaa na woga ni vyanzo vikuu vya kukimbia.....! Wapiganaji tupo ....!
   
 18. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hawa jamaa watatupita ki maendeleo haraka sana kama wata elewa usanii wa usa na uk.Nime kutana nao wengi ugaibuni ni watu wenyenithamu,upendo na uchungu na hali ilivyo nakilicho watokea au kuona.wengi wao walio sudan hawajasoma kama mkuu mmoja alivyo sema ni asilimia 30.<BR>&nbsp;Lakini wengi sana kuliko tunavyo fikiria wako ugaibuni toka miaka ya 80,hasa usa.na wamesoma.Na usa na nchi za mashariki wanajua kwamba hawa jamaa wanauwezo mkubwa ila tatizo ni kwamba usa na uk,ni watu wakuto waamini wana urafiki wa unafiki.<BR>&nbsp;Kitu ambacho wana hitaji ni mali asili ya sudan ya kusini.Hao ndugu zetu wanatakiawa kuwa wangalifu,Nchi yao mpya&nbsp;ina mafuta mengi sana.<BR><BR>
   
 19. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu sio kukimbia ni kujipanga upya na 2015 au kubalisha hali ya hewa.
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mimi ndo naishi Juba mwaka wa pili sasa karibuni sana mkifika nitafuteni. denaamsi@yahoo.com leo huku ni shamra shamra za kufa mtu karibuni sana
   
Loading...