Kwaherini nahamia sudan ya kusini

Wahi, kachukue hela ya kampeni 2015, si unajua awali ni awali hakuna awali mbovu.
 
karibuni sana juba nafanya biashara yakuuza bunduki na mabomu lakini hali saivi sio nzuri kwani wakuu hakuna tena vita ila karibuni saana Sudan Kusini..
 
kwenye next kagame cup na wao watakuja. ngoja nije kutafuta timu ya kukipiga huko. wenye kujua premier league yao imekaaje kaaje huko nijuzeni kwa PM ili nije nikiwa na mwelekeo. hapa bongo miyeyusho imezidi na usanii sasa utatufikisha pabaya zaidi
 
Kwa sasa usitie maguu huku tz1.. subiri wamalizane halafu ndo uzuke.. Unless kama utakuja kama pisi kipa na uwe na helmeti la rangi ya bahari lol..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom