P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,106
- 2,051
Hahaha starehe kubwa uko ni kuzaa sasa km mvua inanyesha na hawatoki maana yake wako ndani wanakula uzazi tuAisee huku mkoani kuna vituko sana.
Wanawahi kulala na wanachelewa kuamka.
Mvua zikinyesha hawatoki.
Ni maajabu.