August_Shao
Senior Member
- Nov 23, 2007
- 166
- 49
Hata ukae miezi mitatu bado wadau watakuita watakusaka tu almradi wakurudishe mstarini.....Yupo mtumiahi alifungwa jela na bado karudi kaziniHakuna sehemu ngumu kumfukuza mtumishi kazi kama TAMISEMI.
Unless Huyo mtumishi mwenyewe afanye makosa ya wazi kiasi kwamba hata maadui hawawezi kutumia nguvu kukushughulikia.
Mfano, mtu ANALEWA mpaka haingii kazini MWEZI mzima.