Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,285
- 1,853
Habari za jioni.
Nipo mbioni kukusanya vilago vyangu kwenda kijijini kulijenga Taifa. Nimefanya kazi Kwa miaka 14 sasa.
Nakumbuka msemo wa kisicho riziki hakiliki. Nimepambana vya kutosha kusalia kazini lakini mikono ya kupora riziki yangu imekuwa mingi na Kwa kasi kubwa.
Cha kushangaza wafanyakazi wenzangu nilikuwa nikiwaona wakifanya uhalifu na kuihujumu Serikali bila woga na nilikaa kimya kuogopa kuwaharibia kazi zao.
Lakini hao hao wamekuwa wakali na wepesi sana katika kufuatilia vikosa vidogo sana nilivyofanya hadi kufikia kuniharibia kwa mwajiri.
Moyo wangu bila kushawishiwa na nikiwa na akili timamu unaniambia nipumzike nifanye mengine kwa maana furaha yao mimi nikose kazi. Sina option inabidi niache tu nisiwe kero kwa wengine.
Kwaherini my friends.