Kwa heri Dar au karibu Dar? Mbona huyu kama katoka Geita ile wilaya ya nanihii kasikia sana kuwa binamu kaukwaa unanihii acha nikawatembelee. Shughuli ni kuwa jee atapokelewa hata kama kaja na kakuku?
Tusubiri kuna bingwa wa kudukua ataleta picha na habari kamili [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa heri Dar au karibu Dar? Mbona huyu kama katoka Geita ile wilaya ya nanihii kasikia sana kuwa binamu kaukwaa unanihii acha nikawatembelee. Shughuli ni kuwa jee atapokelewa hata kama kaja na kakuku?
Mama pole sana ndio bomoa bomoa au?