Kwaheri Dar

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,630
697,606
c10d7c787c14dabbd7b6bda9fc68764d.jpg
 
c10d7c787c14dabbd7b6bda9fc68764d.jpg

Dec 1, 2008 - Mmkaazi mmoja wa Dar es salaam akiwa ameshuka katika kituo cha mabaasi ya mikoani cha Ubungo akitokea Mkoani Iringa leo huku akiwa ...
 
Mwaka ni 2009 ila haijaelezwa anatoka wapi
Kituo ni Ubungo Bus terminal
e870b06da668219ec7319cd870efdc9f.jpg
 
Mshana we ni JEMBE napenda unavotupia picha za kutufanya tufikiri zaidi.. Nashangaa yule bibi foxy Atakuja na kiherehere kutaka kuonyesha wapi Umeitolea picha.. INA maana yeye anadhani watu tulio jf tunaweza ku kuamini wewe ETI Kwa KUWA unatumia picha nyingine kuelezeA tukio lingine. Picha inatupa taswira ya Kile unachozungumzia. Yaani yeye uelewa wake unamtuma kwamba sisi tutatapeliwa Kwa sababu tumejua kuwa zile picha ni za vyanzo vingine. Akili za kipumbavu Sana. Ama kweli Tunazeeka vizuri. Tunachokuwa tunajua ni ku mind picha na typing errors
 
hata ukiwa unaenda nyamisati, kilwa au maeneo ya ngende haswa haswa ukiwa stendi za temeke gari zima limejaa vtoweo! huwa najiulza wanatoa kuku mjini wapeleka shamba!
 
Maskini hii dar es salaam hainitendei haki,
Maisha magumu, nimesota sana,
mwisho wa siku narudi kwetu Tandahimba kulima,
Naondoka na kuku mmoja tu ambaye ndo mali ninayomiliki.....
 
Mshana we ni JEMBE napenda unavotupia picha za kutufanya tufikiri zaidi.. Nashangaa yule bibi foxy Atakuja na kiherehere kutaka kuonyesha wapi Umeitolea picha.. INA maana yeye anadhani watu tulio jf tunaweza ku kuamini wewe ETI Kwa KUWA unatumia picha nyingine kuelezeA tukio lingine. Picha inatupa taswira ya Kile unachozungumzia. Yaani yeye uelewa wake unamtuma kwamba sisi tutatapeliwa Kwa sababu tumejua kuwa zile picha ni za vyanzo vingine. Akili za kipumbavu Sana. Ama kweli Tunazeeka vizuri. Tunachokuwa tunajua ni ku mind picha na typing errors
Ndio maana nasisitiza kila wakati kuwa wapuuzi hawajibiwi...ukishagundua kuwa huyu ni mpuuzi huna haja tena ya kubishana naye...itakusaidia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom