kwa #2 na #3 umenikumbushia maisha ambayo kamwe sitasahau, nakumbuka enzi no majukumu just kusoma na kula bata kwa pocket money. kuomba extra ikiitajika.
Mungu awe nasi tunapoingia mwaka mpya, maana enzi hizo nakumbuka nilikuwa sikai kufikiria eti kunywa na kuendesha watu tulisepa tu.
Namshukuru Mungu kwa familia yangu now najua majukumu.
Kesho mie ndani, nitasali na live service kwa tv.
Nakutakia mwaka mpya mwema.
n.b. mimbo hiyo imetaka kuniliza