Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
- Thread starter
- #21
Kama kumbukumbu yangu iko vizuri miaka ya 2004 shilingi 1 ilikuwa kama kwacha 1,000 hivi. I stand to be corrected.Sasa kwa kutoelewa kwako ndo tatizo lile jina uliloniita mimi. Na pengine haya mambo yako nje ya uwezo wako. Ungekua unaelewa hicho nilichokuwekea kuwa wanapunguza sifuri ila thamani ni ile ile ungeelwwa kuwa hio 170/180 tunayonunulia pale Kazungula ina thamani gani