msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,523
- 6,732
Inaonekana umeleta mada ukiwa na majibu yako kichwani. Basi, tueleze nini kimetokea pesa yetu imekuwa chini wakati ilikuwa juu?Mkuu unalijua somo linaitwa "business and corporate finance. Kuna topic inaitwa international finance"? Sasa haya makitu mimi nayajua in out. Nimeyasoma chuo pia nimeyasoma kwenye syllabus za NBAA yaani kwenye mitihani ya CPA. So, unachokiongea na huyu jamaa unayemuona ameongea point ni irrrevant. Kiufupi hamjui mnachokiongea kuhusu hii mada.
Sent using Jamii Forums mobile app