Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?


Umesoma wapi mkuu? Inabidi ujitathmini kama hujawahi sikia. Umecheki hata google neno redenomiation ukalìkosa? Ni aibu sana unajiita kabisa mchumi ila hujui currency redenomitation. Taifa kweli linaangamia, wewe eti ni msomi tena wa uchumi. Hatari sana.
Mkuu nimesikitika sana hasa baada ya wewe mwenyewe kusema ni mchumi.
Mkuu hawa vijana inasikitisha sana kwa kweli
 
Ndio maana mnatakiwa mtembee ili mpate exposure, nauli ya bus kutoka Tunduma mpaka Lusaka haizidi kwacha 280, ni umbali wa Mwanza to Morogoro, sasa imagine hiyo sh 100 unaweza nunua vitu vingapi zaidi ya chumvi? Hiyo 100 utakula break fast, lunch mpaka dinner na unaweza usiimailize, acheni kuongea vitu kwa nadharia,tembeeni.

280ZMW(Tinduma-Lusaka) ni sawa na TSH...ngapi?? Nauli toka Mwanza hadi Moro ni TSH...ngapi?

100ZMW unakula breakfast, lunch na dinner. Je 100x170TSH huwezi kula breakfast, lunch na dinner?
 
Hebu tuambie hiyo elf kumi patikanaji wake ukoje?

God save us
Sio expert wa uchumi ila nlichoelewa ni kwamba..
1 ZMW(new) = 1,000 ZMK (old)
Mfano kama kipindi hicho mkate uliuzwa zambian K 1,000,000 inamaana leo mkate utauzwa zambian k 1,000 .

Kwa maana hiyo 10,000 ZMW kwa miaka hiyo ingekua 10,000,000 ZMK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto ayezaliwa leo akakuta noti kwacha ya 50 atajua kama kuna "000" zimefichwa?????? Si ataona ni kwacha 50 tu? Hizo habari za kuficha sifuri kwa nini mnazing'ang'ania. Noti imeandikwa kwacha 50 kwa nini nianze kuwaza kuna sifuri zimefichwa?

Bro ukiona 50kwacha tambua tu hiyo ni 50000K ya zamani ambayo ni sawa na 8200 TZS hayo mengine unapoteza mud na pia tambua Likwacha halina thamani kukuelewesha ukaelewa hiyo ni kesi nyingine.
 
Mkuu miaka ya nyuma shilingi ilikuwa na nguvu kuzidi kwacha lakini kwa sasa imekuwa kinyume. Hiki ndio msingi wa hili bandiko. So unachoongea wewe kipo nje ya bandiko. Au wewe hujui kuwa kwacha ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi lakini sasa kwacha ina nguvu zaidi ya shilingi?
Uelewa wako mdogo sana, naona watu wanajaribu kukuelimisha unawapinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto ayezaliwa leo akakuta noti kwacha ya 50 atajua kama kuna "000" zimefichwa?????? Si ataona ni kwacha 50 tu? Hizo habari za kuficha sifuri kwa nini mnazing'ang'ania. Noti imeandikwa kwacha 50 kwa nini nianze kuwaza kuna sifuri zimefichwa?
Kila currency kuna 000 zimefichwa hata $ kwahiyo wambie hiyo sio hoja jambo lakujua ni kwacha inadhamani kuliko hela yetu, kubali au kata nawameweza kulimentain kwa mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro ukiona 50kwacha tambua tu hiyo ni 50000K ya zamani ambayo ni sawa na 8200 TZS hayo mengine unapoteza mud na pia tambua Likwacha halina thamani kukuelewesha ukaelewa hiyo ni kesi nyingine.
ZMW ni new currency ndio maana hata code yake ni tofauti na ile ya zamani (ZMK) nadhani ndio ki2 ambacho wengi wanakichanganya humu.. kwa sasa huwezi compare ZMK na TSH. Bali ZMW na TSH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuelewa nami kupitia huu mjadala. Kwa mfano

1.1usd=581 somali sh
2.1usd=14.29 rands
3.1usd=100.67 Kenyans shilling
4.1usd=362 naira za Nigeria
5.1usd=109 japanese Yen
6.1usd=2298 Tanzania shilling
7.1usd=13.98 Zambian kwacha

Kwa mtiririko huo ina maana kwacha (uchumi wa zambia) inakimbiza kuliko yen ya Japan? Ama shilling ya Kenya? Ama Rand za kisauzi?shillingi ya Somalia (uchumi) inakimbiza kuliko ya shillingi ya Bongo? Ama ulinganisho huo hauna mantiki kiuchumi? Wajuzi wanisaidie hapa
Ya nini kubishana wakati mr google yupo hapa hebu pitieni hapa.

Kwa mujibu wa mitandao hii kwacha ni ya 6 kwa pesa zenye purchasing power kubwa africa wakati Tsh hata Top 20 haipo iwe alipunguza sifuri au alifanyaje lakini ndio wameshatuacha


The 8 strongest African currencies in 2019



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ukipunguza masifuri ndio thamani inaongezeka?, kwamba baada kupunguza hayo masifuri ndio exchange rate iwe Tsh 1 kwa 170 kwacha?. Ninachojua exchange rate ndio nguvu ya fedha!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu chukua hesabu rahisi.

Kipindi kile dola 1 ilikuwa kwacha 4000

Sasa wameondoa sifuri 2 si itakuwa dola 1 kwacha 40. Lakini yuleyule alokuwa na kwacha 4000 ndie ana kwacha 40 baada ya redenomination ilofanyika.

Mkate ulouzwa kwacha 2000 sasa utauzwa kwacha 20. Ndicho kilichofanyika

Njoo hesabu ya Tanzania. Shilingi 1 iliuzwa labda kwacha 1500. Redenomination ikifanyika itakuwa kwacha 15.

Ingia mtandaoni tafuta Zambia kwacha redenomination ndio utajua
 
Duuh hata mimi sielewi hapo.usd1=zk13.9
Usd1=tzs 2.294
Hapo nachanganyikiwa
Screenshot_20191222-105448_Currency.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu tumia exchange tools kwenye mtandao ikusaidie kufanya izo mambo za curency conversion ili kuficha udhaifu wa elimu yako

Bro kama kweli wewe ni msomi na hulijui hili linaloendelea au lilotokea kwenye Zambian currency inawezekana kabisa hujui mambo mengi kama msomi.

Hizo exchange tools zenyewe zimeshaeleza sana hii mambo naona mpaka sasa nyingine zimeacha kuliweka kama caution kwenye Zambian currency. Hili suala limetokea siku moja baada BOZ kutoa taarifa na muongozo unafikiri anayepandisha thamani ya currency ni bank kuu???

Bro read and dig on this kuna siku utatapeliwa na wahuni na huo mtazamo wako..
 
Kuanzia E. Lungu alivyoingia si alipunguza sifuri tatu kwenye sarafu yao????

Thamani iko pale pale sema wamefanya hivyo ili kuondoa mzigo wa manoti
Uko sahihi 100%. Hata Ghana walishafanya hiyo kitu. Hii ilikuwa kabla ya E. Lungu
 
Kubali kueleweshwa tatizo umeshupaza shingo mkuu. Umepewa mifano mingi sana lakini naona utaki kuelewa. Simple chukua laki moja ya Tsh nunua petrol ili uone utapata lita ngapi then chukua hiyo hiyo laki moja nenda uchenji kwacha uende zambia uone unapata lita ngapi ndo utaelewa. Kama bongo utapata lita 45 kwa tsh 100,000 kwacha ya thamani hiyo utapata lita 12 tu .
Hii mifano yenu hii jamani, mbona mifano haina logic kabisa, unaweza ukabadili na ukapata Lita zile zile au tofauti kidogo, some other market factors kama demand and supply, transport costs, tax regime zinaweza influence price ya mafuta, ila bei ya mafuta Lusaka ni elfu 2000 plus ya kibongo ambayo ni kama kwacha kumi 18 hivihaifiki elfu 3000, so mfano wako uko so irrelevant
 
280ZMW(Tinduma-Lusaka) ni sawa na TSH...ngapi?? Nauli toka Mwanza hadi Moro ni TSH...ngapi?
280-47,0000 nauli Mwanza Moro haizidi elfu 40.000

100ZMW unakula breakfast, lunch na dinner. Je 100x170TSH huwezi kula breakfast, lunch na dinner?
 
Back
Top Bottom