Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?

Kwa taari yako sasa hivi Uchumi wa Zambia unazidi kuporomoka maradufu kwacha inazidi kushuka siku hadi siku.

USA amepunguza sana kununua copper, amebaki Mchina janja janja ndio Kwanza amewanyang'anya uwanja wa ndege next itafuatia ZESCO shirika lao la umeme baada kushindwa kulipa madeni yake.

Wakati wanapunguza hiso sifuri 1$ ilikuwa sawa 5k sasa hivi 1$ sawa na 14k...

Raisi anatangaza kabisa kuwa wananchi waiombee nchi yao uchumi usiporomeke zaidi wewe unasema wanauchumi mzuri.

Soma taarifa ya serikali ya Zambia sababu ya kutoa hizo sufuri

Zambia Redenominates the Kwacha: Zambia Has Finally Agreed to Redenominate Its Currency, Which, Following Periods of Inflation, Has Become Unwieldy. Nawa Mutumwena Reports

Mutumwena, Nawa, African Business

The Zambian Cabinet has approved the redenomination of the country's currency, the kwacha, by removing three zeros from the current denominations of the 1,000 kwacha and above notes.
Minister of Finance and National Planning Alexander Chikwanda, explained what this will mean. "For example," he said, "K1,000 will be K1, K5,000 will become K5, K10,000 will become K10, K20,000 will become K20, and K50,000 will become K50. In addition, the Bank of Zambia will also reintroduce coins for lower denominations."
The much-anticipated redenomination is expected to address the accumulated loss in the value of the currency experienced during episodes of high inflation that undermined the kwacha's basic function as a store of value, medium of exchange and standard of value.
"The loss of value is typically as a result of high inflation rates over a prolonged period of time and the high denominations that characterise the existing currency are a consequence of high inflation rates that Zambia experienced over a long period of time," observed Kanguya Mayondi, Bank of Zambia's (BoZ) head of public relations.
"During the recent years, inflation has declined to single-digit levels such that in December 2011, it stood at 7.2%. This low level of inflation coupled with favourable macroeconomic conditions provides for an opportune time to rebase the Zambian currency," he added.
[ILLUSTRATION OMITTED]
Pointing out the benefits or a rebased currency, Minister Alexander Chikwanda said, "In the accounting sphere, redenomination of the kwacha will reduce time taken to input financial data and time spent by management to review it. It will also reduce the cost often incurred in customising standard accounting packages that are purchased by businesses."
Most of the current international accounting packages are developed in jurisdictions where values, at maximum, tend to be in millions. The present situation in Zambia is that some organisations, especially banks, record values of trillions of kwacha and hence require further customisation of such packages to widen data fields. Therefore, redenominating the kwacha will be of great value to businesses and will reduce inputting errors. …

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unafikiri na rahisi kuondowa zero tu arafu uchumi ukaendelea vizuri jaribu ufanye kwenye Tz shilling yetu, uone muziki wake, acha siasa katika uchumi currency ya kwacha ya Zambia inapambana vizuri dhidhi ya $ kuliko shilling yetu.....

Kwanza habari yako is pure speculation, unaleta habari za 2011, almost 9 years ago, yani kama ni mtoto alizaliwa kipindi hicho yupo darasa LA 3 au LA 4, moreover, Kwacha INA value and higher purchasing power kuliko hela ya Tanzania au ya Kenya, hilo sitaendelea kukuelimisha zaidi sababu kama wewe ni MTU mzima na bado unashindwa kuelewa hizi basics nikusaidieje? Kama unaamini kwacha wamepunguza zero wakati kwacha moja Leo hii inanunua dola 13, nikusaidiaje with all that information? Sisi kwa ufupu tu hatu export zaidi kama Zambia, pesa yao ina nguvu, suala LA kwamba uchumi wao ni bora kuliko wetu or vice versa hiyo ni discussion nyingine sababu pesa yako kuwa na nguvu sio kipimo pekee una uchumi Mkubwa, ila Kwa ufupi tu Zambia pesa yao INA nguvu kuliko yetu, that's a universal truth sina sababu ya kubishana na facts au MTU anaepingana na facts wakati haya mambo unaweza hata google kuona kwacha na shilling ipi INA nguvu.
 
Kuanzia E. Lungu alivyoingia si alipunguza sifuri tatu kwenye sarafu yao????

Thamani iko pale pale sema wamefanya hivyo ili kuondoa mzigo wa manoti

1 ZMW= 157.58475 TZS = 6.87888 KES = 0.06874 USD = 0.06178 EUR = 0.05250 GBP
 
Mkuu watu wanazungumza nini kilitokea hela ikaonekana kuongezeka thamani overnight ,yaani tarehe 31/12/2012 hela ya zambia iliyokuwa na ISO code ZMK
Exchange rate yake ilikuwa 1ZMK=0,00019 USD
Tarehe 1/1/2013
Rate ya kwacha mpya yenye ISO code ZMW
Rate yake ilikuwa 1ZMW= 5......USD
kama bei ya copper ilipanda usiku wa mwaka mpya na kuleta hayo mabadiliko sawa
Lakini mpaka mwezi june mwaka 2013 zambia ilikuwa na exchange rate mbili ili kuwapa watu Nafasi waliokuwa na hela za zamani (ZMK) wazitumie(walipewa miezi 6) inamaana kipindi hicho rate ya kwacha ilitegemea ni kwacha gani unayo ,mpya au ya zamani
ZMK zilipotolewa kwenye mzunguko ndo ikabaki hii waliyopunguza masifuri (ZMW)

Sent using Jamii Forums mobile app
U've made the discussion clear, majibu ya swali lako ndio yatakayo maliza ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza habari yako is pure speculation, unaleta habari za 2011, almost 9 years ago, yani kama ni mtoto alizaliwa kipindi hicho yupo darasa LA 3 au LA 4, moreover, Kwacha INA value and higher purchasing power kuliko hela ya Tanzania au ya Kenya, hilo sitaendelea kukuelimisha zaidi sababu kama wewe ni MTU mzima na bado unashindwa kuelewa hizi basics nikusaidieje? Kama unaamini kwacha wamepunguza zero wakati kwacha moja Leo hii inanunua dola 13, nikusaidiaje with all that information? Sisi kwa ufupu tu hatu export zaidi kama Zambia, pesa yao ina nguvu, suala LA kwamba uchumi wao ni bora kuliko wetu or vice versa hiyo ni discussion nyingine sababu pesa yako kuwa na nguvu sio kipimo pekee una uchumi Mkubwa, ila Kwa ufupi tu Zambia pesa yao INA nguvu kuliko yetu, that's a universal truth sina sababu ya kubishana na facts au MTU anaepingana na facts wakati haya mambo unaweza hata google kuona kwacha na shilling ipi INA nguvu.
Kweli tunasoma lakini elimu haijatusaidia hata kidogo. Naona huu mjadala unazidi kuonyesha uwezo wetu mdogo sana katika kufikiri (hata sio elimu tunayopewa darasani, elimu ya kibeberu). Restructuring ya ZMW ilifanyika 2013, January baada ya kuona inflation inaongezeka na currency inashuka thamani. Zambia waliprint hadi noti ya ZMK100,000 wakati huo.

Unataka kuniambia 2012 December,31 hadi 2013 January currency yao ilikuwa na nguvu kiasi cha kushuka hadi kulingana karibu na dollar kwa uwezo wa kuuza na kununua? Kama hilo huelewi mimi niliyesoma commerce hadi form ii nakuambia pole sana. So overnight Zambia wakawa na exports nyingi, kwacha ikawa na high purchasing power, just overnight?

Ghanà cedis nayo ilifanyiwa denominations 2009 lakini hapa tunapoongea tayari inapumulia machine.
 
Nimekuacha na hii information ya exchange rate USD against Zambian Kwacha as of today, kama haujui dola ndio kipimo cha global currencies basi sina msaada zaidi , au na hapo utasema wamepunguza zero ingetakiwa iwe 13,000? Hahaha, ipo kazi!
 
Attachments

  • IMG_20191222_153717_300.JPG
    IMG_20191222_153717_300.JPG
    44.2 KB · Views: 3
Kweli tunasoma lakini elimu haijatusaidia hata kidogo. Naona huu mjadala unazidi kuonyesha uwezo wetu mdogo sana katika kufikiri (hata sio elimu tunayopewa darasani, elimu ya kibeberu). Restructuring ya ZMW ilifanyika 2013, January baada ya kuona inflation inaongezeka na currency inashuka thamani. Zambia waliprint hadi noti ya ZMK100,000 wakati huo.

Unataka kuniambia 2012 December,31 hadi 2013 January currency yao ilikuwa na nguvu kiasi cha kushuka hadi kulingana karibu na dollar kwa uwezo wa kuuza na kununua? Kama hilo huelewi mimi niliyesoma commerce hadi form ii nakuambia pole sana. So overnight Zambia wakawa na exports nyingi, kwacha ikawa na high purchasing power, just overnight?

Ghanà cedis nayo ilifanyiwa denominations 2009 lakini hapa tunapoongea tayari inapumulia machine.
Wachumi wapo wengi wanatuchanganya na majibu yanayokosa logic.

Mie swali langu moja tu...kwacha ina thamani kuizidi tsh?

Kuhusu redomination najua walifanya kujinusuru na inflation.

Sasa hii kwacha ya leo ina thamani kuizidi shilingi au haina?
 
Mbona hii issue hata mtoto mdogo anaweza kujua ipi ina nguvu kubwa kati ya kwacha na shilingi. Yaani utumie shilingi 170 kununua kwacha 1 halafu ushindwe kujua hela ipi yenye nguvu?
Shilingi ina nguvu, yaani hiyo kwacha 1imetolewa masifuri mitatu ilikuwa 1000. Kwa kucovert ni hivi 1000 k=170 Tsh. Hiyo inaitwa one pin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya nini kubishana wakati mr google yupo hapa hebu pitieni hapa.

Kwa mujibu wa mitandao hii kwacha ni ya 6 kwa pesa zenye purchasing power kubwa africa wakati Tsh hata Top 20 haipo iwe alipunguza sifuri au alifanyaje lakini ndio wameshatuacha

The 8 strongest African currencies in 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ripoti hii Basi hela yetu ya madafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilingi ina nguvu, yaani hiyo kwacha 1imetolewa masifuri mitatu ilikuwa 1000. Kwa kucovert ni hivi 1000 k=170 Tsh. Hiyo inaitwa one pin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu ya pesa inapimwa kwa kuangalia nini?

Pesa yenye nguvu hununuliwa kwa pesa nyingi, sasa kwanini kwacha kama haina nguvu kuizidi shilingi tunainunua kwa pesa zetu nyingi?

Kwangu nadhani kwacha ya kabla ya redomination ilikuwa haina nguvu ila sio ya sasa.
 
Wamepunguza sifuri tatu, alafu wanaidharau tsh saiv
Miaka ya 2004 hadi 2006 nilikuwa nikipita mara kwa mara Zambia kuelekea South Africa. Nilikuwa nikibadilisha shilingi yetu kwa kwacha ya Zambia napata hela nyingi sana za Kizambia.

Infact enzi hizo ukiwa na TZS unakuwa don kwa maisha ya Zambia. Nimeshangaa leo hapa mitaa ya Posta nakuta exchange rate ya Kwacha ni TZS100 - TZS170.

Yaani Kwacha 1 inanunuliwa kwa TZS100 na kuuzwa kwa TZS 170. Nimebaki kujiuliza sana imekuwaje Kwacha ilikuwa weak hivyo lakini imeipita TZS zaidi ya asilimia 1000?

Tanzania tunakwama wapi jamani? Dar es salaam huwezi hata kuilinganisha na Lusaka. Jiji la Dar lipo juu sana ukililinganisha na Lusaka.

Miji Kama Mwanza, Arusha iko juu sana ukilinganisha na miji ya Zambia. How come currency ya Zambia ipo juu kuizidi TZS?

Wachumi naomba mtufafanulie.

By the way mimi pia ni mchumi japo sio certified hivyo basic principles za economics nazijua, ila kwa hili nimeshindwa kulielewa.

Karibu tujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwacha nyingi za saivi ni mpya zimetengenezwa kuanzia 2016-2018 na kuondoa sifuri tatu ndio maana pesa yao inaonekana kubwa angalia picha hizi naambatanisha
Iko ivi ukiwa na Zambian kwacha moja (1) ni sawa na kuwa na tanzanian shilings mia moja na sabini (170) kwa upande wa dola ya marekani ukiwa na US dolar moja (1) ni sawa na kuwa na tanzania shilings elfu mbili mia tatu na kumi na tano (2315) kwa upande wa majirani zetu wa kenya ukiwa na kenyan shiling moja (1) ni sawa na kuwa na tanzania shiling ishirini na tatu (23) natumaini unaweza kuona nguvu ya kwacha ya zambia.
1577016461542.jpeg
1577016490278.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachumi wapo wengi wanatuchanganya na majibu yanayokosa logic.

Mie swali langu moja tu...kwacha ina thamani kuizidi tsh?

Kuhusu redomination najua walifanya kujinusuru na inflation.

Sasa hii kwacha ya leo ina thamani kuizidi shilingi au haina?
@Daby kweli mimi sio mchumi, na mambo ya uchumi sikuwahi kuyafanyia kazi sana lakini ninachojua ni kwamba, baada ya kufanya restructuring ya fedha za nchi, mfano wa hapa TZ wapunguze sifuri tatu, maana noti ya 10,000 kuwa TSH.10 nk, wewe mwenye TSH. 50,000,000/- crdb bank hela zako zitashushwa thamani na kuwa TSH. 50,000/-. Badala ya kununua flat screen kwa TSH.1,000,000/- utakuja kuinunua kwa TSH1,000/-, badala ya kumlipa mfanyakazi wako TSH. 700,000/- Kwa mwezi utamlipa TSH.700/-.

The fact kwamba hela yako iliyopo bank imeshushwa kutoka 50,000,000 hadi 50,000 it doesn't make any difference kwako wala kwa watu wako.

Sasa, purchasing power ya hiyo hela imeongezeka au imepungua, being it buying locally or international? Utachukua ile 50,000/- badala ya 50,000,000 ya awali na kuagiza gari kwa 15,000/- badala ya 15,000,000. Does it make any difference kwenye account yako? Hell no!!!
 
Back
Top Bottom