donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Wakitoka toilet si wananawa mkuu, kwahiyo mkono wa kushoto ni mkono mchafu sana.?Kuna left hand hapa kwetu yan kuna muda anajisahau anamega ugali na shoto...
Nikuulize toilet mnatumia mkono gani? Na we binafsi kwenye ugali au chakula cha kula na mkono unatumia upi?
Me hata sijui... Ila kiTz hatujazoeshana hiyo ya kula ugali na mashoto.Wakitoka toilet si wananawa mkuu, kwahiyo mkono wa kushoto ni mkono mchafu sana.?
Toilet Ni same hand, kula nalia kulia but baada ya kuchapwa sana utotoniKuna left hand hapa kwetu yan kuna muda anajisahau anamega ugali na shoto...
Nikuulize toilet mnatumia mkono gani? Na we binafsi kwenye ugali au chakula cha kula na mkono unatumia upi?
Hata sielewi mkuuHivi nani anagawa siku hizi?
[emoji23][emoji23][emoji23], kwenye akili mkuu mi mwenyewe sielewi ila binafsi sijawahi feli kitu kinaitwa shule tangu pre-school mpaka hapa nilipofikiaNilikua na kula na mkono wa kushoto utotoni niliambulia ukatili wa kutosha kutoka kwenye familia hadi nikanyooka mpaka leo hii nikipata tatizo mkono wakulia hua nakula kwa shida sana mkono wa kushoto
All in all watu wanaamini tunaakili sana napenda nithibitishie kwa mimi binafsi yangu sina akili kabisa na sijawahi kua nazo
But trust me normal is boring hakuna kitu kizuri kama kua tofauti na majority , happy leftists day [emoji23] kama ni kweli hii siku ipo
Wow!! Are you a leftie?
Ni kweli lakini kula ugali na mkono wa kulia hufanywa na wengi kwa sababu ndio mkono wao wenye nguvu zaidi. Na kwasababu watu wengi hutumia zaidi mkono wa kulia basi ikahalalishwa kiivo.Me hata sijui... Ila kiTz hatujazoeshana hiyo ya kula ugali na mashoto.
Hongera mkuu mimi darasa la nne peke yake ndio nilifaulu uko mbeleni nimefaulu kwa kuigilizia tu na hakuna aliekua ana dought ufaulu wangu ukiwa left handed unakua unaaminiwa sana[emoji23][emoji23][emoji23], kwenye akili mkuu mi mwenyewe sielewi ila binafsi sijawahi feli kitu kinaitwa shule tangu pre-school mpaka hapa nilipofikia
Yay fam [emoji1635][emoji1635][emoji1635]Wow!! Are you a leftie?
Yay to us[emoji1635]
Mimi ndio hivyo hivyo, left handed midfield maestroHivi tunao tumia mkono wa kushoto (kuandika,kupiga kwa nguvu) na mguu wa kushoto kwa sisi ma footballers mnatuitaje ?
Binafsi ni mashoto [emoji817]%, toilet natumia mkono wa kulia baada ya shughuli.Kuna left hand hapa kwetu yan kuna muda anajisahau anamega ugali na shoto...
Nikuulize toilet mnatumia mkono gani? Na we binafsi kwenye ugali au chakula cha kula na mkono unatumia upi?