October 29 inakaribia

October 29 inakaribia

Namsikiliza Maria Sarungi hapa kwenye Space ya X nipeni Ratiba na Ramani kamili tunaanzia wapi? Nimenunua kama litre 40 za Petrol ⛽️ ni PM
 
October 7 will forever be a nightmare to Hamas and Gaza
October 29 will forever be a nightmare to CCM, PoliCCM, JWTZCCM
 
Namsikiliza Maria Sarungi hapa kwenye Space ya X nipeni Ratiba na Ramani kamili tunaanzia wapi? Nimenunua kama litre 40 za Petrol ⛽️ ni PM

Chawa Toroli , space kuna option ya kuomba mic , yaani umeshindww kuongea kwenye space unakuja kuongelea huku nyoosha mkono upewe mic uongee sasa unatuuliza huku kwani space ya X iko hosted na JF?
 
Aisee "et wale wenge majeraha ya matundu ambao hawajafa, wapeleken mochwari wakafie huko!"
Binadamu (mtoto wa kitanganyika katika inchi yake mwenyewe)aligeuzwa kuwa mbwa koko, inauma sana aisee!
 
Chawa Toroli , space kuna option ya kuomba mic , yaani umeshindww kuongea kwenye space unakuja kuongelea huku nyoosha mkono upewe mic uongee sasa unatuuliza huku kwani space ya X iko hosted na JF?
Maria ana intelligence kali nimeomba mara kibao ananipiga chini na Mshabaha
 
Back
Top Bottom