Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,066
- 18,348
Natamani niwape kaka zangu espeshale yule mdogo, mtu yupo early 30s tayari kipara kimeshaota khaa
nimejikuta nacheka sana
Natamani niwape kaka zangu espeshale yule mdogo, mtu yupo early 30s tayari kipara kimeshaota khaa
Bilionea mtarajiwa huyoKuna mtoto wa ndugu yangu ana 12 years anaota kipara
Isije ikawa wewe ni Mbia kwenye ku import hii kitu so watangazia Biashara yako Mkuu.Ni ya mba but inamatokeo chanya kwenye uotaji wa nywele.. Trust me
Doh,Yapo kibao madukani bt nmegundua kuna feki pia