Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza


P

permanides

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Messages
2,734
Likes
1,246
Points
280
P

permanides

JF-Expert Member
Joined May 18, 2013
2,734 1,246 280
Vipara na mvi mtu ukiwa late 20's na early 30's ni tatizo serious!
 
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
1,093
Likes
936
Points
280
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
1,093 936 280
Duuu hivi haya kweli huwa hayana madhara!?
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
16,084
Likes
29,349
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
16,084 29,349 280
Ukipata dawa ya uzee ulete maana naona unataka kupambana na mabadiliko ya mwili.
 
Ngomakipiki

Ngomakipiki

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
295
Likes
129
Points
60
Ngomakipiki

Ngomakipiki

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
295 129 60
Weka contact namna ya kuyapata
 
Ubavu

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Messages
2,680
Likes
2,505
Points
280
Ubavu

Ubavu

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2012
2,680 2,505 280
Aisee katika vitu ninavyovihusudu basi ni kipara changu..! Yaani nakipenda mpaka nabanwa na haja

Kila nikijiangalia kwenye kioo naona namna ninavyotokelezea na masculinity ya akina Jason Statham pamoja na bruce wills basi nazidi kufurahia kipara changu
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,142
Likes
5,494
Points
280
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,142 5,494 280
Yanapatikana wapiiiii???

Mimi natumia ya t444z naaona mabadiliko kwa mbaaali sana.

Haya naweza yapata wapi ili niyatumie?
Jaribu na hii hutojutia.. Otherwise labda kiwe ni kipara cha kulogwa.
 
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
914
Likes
1,060
Points
180
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
914 1,060 180
Nna kipara cha urithi (genetics) kuanzia babu to dad, babu alipata kwa baba yake pia. Kitaisha kwa dawa hiyo?
 
M

Mnazareth

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
383
Likes
379
Points
80
M

Mnazareth

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
383 379 80
kipara ni nature ,kama asili yenu kwenu kuna vipara utakomaza utosi tu kwa madawa ,kwani kipara kina tatizo gani mpaka kupambana nacho.
sory kama nimekuharibia biashara yako mkuu
Nakubaliana nawe mkuu mie hata miaka 20 sijafika nina kipara changu cha kurithi na hakijawahi kunipa stress kabisa haya masuala ya madawa ya kuleta nywele lazima yawe na side effect tu
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,142
Likes
5,494
Points
280
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,142 5,494 280
Nakubaliana nawe mkuu mie hata miaka 20 sijafika nina kipara changu cha kurithi na hakijawahi kunipa stress kabisa haya masuala ya madawa ya kuleta nywele lazima yawe na side effect tu
Kipara ni kama kitambi.. Kuna wanaovipenda na kunawanao vichukia.. That is it
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,841