1980s Wazalendo tuliwatambua kwa sababu walipenda kufuga nywele "Mwembe" lakini Wazalendo wa Siku hizi ni Vipara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,028
Awamu ya kwanza UVCCM wenye Uzalendo ndani ya mioyo yao tuliwatambua kwa muonekano wao

Kwanza walipendelea kufuga nywele kama Mwembe

Pili walikuwa wanabeba Mikoba kama Ule wa Tundu Lisu aliokwenda nao Ikulu walipoalikwa na JK

Hawakujiita Wazalendo bali waliitwa Wazalendo

Lakini Wazalendo wa Siku hizi Wananyoa Vipara na kutembelea V8 huku wakijiita " mimi Mzalendo"

Tumetoka mbali ila tunakoenda ni mbali zaidi

Mlale Unono!
 
Habari bila picha za hao wazalendo ni uzushi
 
Awamu ya kwanza UVCCM wenye Uzalendo ndani ya mioyo yao tuliwatambua kwa muonekano wao

Kwanza walipendelea kufuga nywele kama Mwembe

Pili walikuwa wanabeba Mikoba kama Ule wa Tundu Lisu aliokwenda nao Ikulu walipoalikwa na JK

Hawakujiita Wazalendo bali waliitwa Wazalendo

Lakini Wazalendo wa Siku hizi Wananyoa Vipara na kutembelea V8 huku wakijiita " mimi Mzalendo"

Tumetoka mbali ila tunakoenda ni mbali zaidi

Mlale Unono!
Mkuu kwa hiyo wote wanaofuga nywele ni wazalendo,basi tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom