Wanaume wenye vipara

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Je wanaume wenye vipara au viualaza vilivyoanza; na cc tuanze kujikubali rather kujificha na hair implants, plugs, kofia au tuweke para mwanzo mwisho tu. Sina hela za hair implants.
 
Mwanaume jikubali, kwanza wenye vipara wana akili sana kama Guardiola

Mambo ya Hair implant utaanza Ushoga

Mimi ningekuwa na kipara ningekuwa nanyoa zotee na kupiga sunglasses kaliii

C unamwona Idris Sultan au Mr. Blue mbona hawawazi?
 
Back
Top Bottom