Kwa wenye Dstv naomba mnijuze!!

Kwa wenye Dstv naomba mnijuze!!

kizoleo

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
79
Reaction score
8
Ni kuhusu Kifurushi cha premium!! Je kuna baadhi ya chanels zinazokosekana hata baada ya kulipia? Natanguliza shukrani.
 
Hakuna.
Au unamaanisha channels kwa maana ya zile zilizo kwenye menu? Sasa unataka kuona the same thing kwa kifaransa? If so, ukilipa premium umwambie akupe ya kifaransa au lugha nyingine.
 
Hakuna.
Au unamaanisha channels kwa maana ya zile zilizo kwenye menu? Sasa unataka kuona the same thing kwa kifaransa? If so, ukilipa premium umwambie akupe ya kifaransa au lugha nyingine.

Ni zile ambazo ukizi view unakutana na hii makitu E16-4 you are not enabled to view this channel or your account has been suspended.
 
naomba kujua ulipaji wa hyo dstv, yani gharama zake zikoje kwa kila kifurushi?
 
Ndio kuna nyingine utakosa maana tena hapo kuna makundi baada ya premium package kuna Portugal bouquet,India bouquet na France bouquet,sasa ndio unaweza omba lipia premium na bouquet moja wapo kati ya hizo au zote,ambapo premium ni Tsh.128,856/= hizo bouquet sina hakika ila muda si mrefu zilikuwa zinachezea kwenye Tsh.54,000/= hivi! Hivyo utajumlisha na gharama za premium hapo.
 
Hv channel e ya S. Africa ni Free kwnye package za Dstv?..free local channels nyingne ni zipi?
 
Back
Top Bottom