Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,640
- 697,994
- Thread starter
- #661
Kuna ukweli dhahiri kwenye hili, tena wazazi wa yule mtoto inaelekea ni mafundi hasaWazazi tuepuke kutenda tendo la ndoa tukiwa na watoto wachanga/wadogo vyumbani.
Tunalala na wanetu vitandani na tunafanya tendo tukidhani vitoto vimelala.
Vinaona. (Ile picha ya kale katoto kaliko lazwa na kanakata kiuno)
Post sent using JamiiForums mobile app