MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,105
- 3,068
Ahsante mshana jr, nikiwa na swali tena nitakuja kuuliza kwenye huu uzi.
Asante karibu 24/7Ahsante mshana jr, nikiwa na swali tena nitakuja kuuliza kwenye huu uzi.
Chango huwapata mara nyingi wanawake ambao hawajazaa bado na sometimes hushauriwa kubeba mimba ili hilo tatizo liishe..... Kwahiyo sio kweli kwamba hawezi kushika mimbaMshana jr, habari yako mkuu, naomba kujuzwa kuhusu hili.
Nini madhara ya chango kwa wanawake ? Je kuna uwezekano mwanamke mwenye chango anaweza asishike mimba, au mimba akishika inaweza kutoka?
Nijuze tafadhari, natangulisha shukurani.
Chango huwapata mara nyingi wanawake ambao hawajazaa bado na sometimes hushauriwa kubeba mimba ili hilo tatizo liishe..... Kwahiyo sio kweli kwamba hawezi kushika mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi tech imekua nakushauri kuepuka guess works na mambo ya wahenga mwende hospital akapate ushauri na vipimo sahihiHuyu mpenzi wangu anaujauzito wa kama wiki moja lakini muda mwingne tumbo linakuwa linamuuma kwa kumchoma choma. Na aliwahi kunambia kuwa ana tatizo la chango, je chango haiwezi kuleta madhara kwa mwanamke mjamzito? Na Kama kuna madhara, yanaweza kuwa ni yapi??
Maana huwa nasikia mwanamke mwenye chango hata akibeba mimba, mimba yake haitodumu itaharibika siku si nyingi, kuna ukweli wowote katika hili??
Siku hizi tech imekua nakushauri kuepuka guess works na mambo ya wahenga mwende hospital akapate ushauri na vipimo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali wengine huwahi na wengine huchelewa kidogo, Kama hana tatizo lolote la kiafya usiogopeMkuu Mshana mtoto wangu amefikisha umri wa mwaka Mmoja ila bada hasimami. Je inachukua muda gani mtoto kusimama na kutembea? Naweza kutumia vitu gani ili viweze kumsadia kufikia stage hiyo kwa urahisi zaid?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu hana tatizo lolote. Nilikuwa nahofu maana na mtoto wa kwanza sina uzoefuUsijali wengine huwahi na wengine huchelewa kidogo, Kama hana tatizo lolote la kiafya usiogope
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu hana tatizo lolote. Nilikuwa nahofu maana na mtoto wa kwanza sina uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
QuotedUsijali wengine huwahi na wengine huchelewa kidogo, Kama hana tatizo lolote la kiafya usiogope
Sent using Jamii Forums mobile app