Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Wazazi tuepuke kutenda tendo la ndoa tukiwa na watoto wachanga/wadogo vyumbani.
Tunalala na wanetu vitandani na tunafanya tendo tukidhani vitoto vimelala.
Vinaona. (Ile picha ya kale katoto kaliko lazwa na kanakata kiuno)
Kuna ukweli dhahiri kwenye hili, tena wazazi wa yule mtoto inaelekea ni mafundi hasa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mshana Jr habar mkuu. Mtoto mchanga wa wiki 4( mwezi 1) kupiga kwikwi inaadhiria nini? Maziwa amekunywa.
 
Mshana Jr habar mkuu. Mtoto mchanga wa wiki 4( mwezi 1) kupiga kwikwi inaadhiria nini? Maziwa amekunywa.
Gesi hiyo akishakunywa maziwa muweke begani Misha msugue gently mgongoni mpaka acheue

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hongera Kako salama kuna wengine ni vilio mwanzo mwisho

Post sent using JamiiForums mobile app
Wakati namtafuta nilifuata maagizo.
1: Kulala mapema 2: kufanya mazoezi 3: balanced diet 4: Mwenzangu sikumbugudhi .manii yalikuwa mubashara
 
Well done bro kwa mada nzuri kabisa tunashare na kujifunza big up sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakati namtafuta nilifuata maagizo.
1: Kulala mapema 2: kufanya mazoezi 3: balanced diet 4: Mwenzangu sikumbugudhi .manii yalikuwa mubashara
good for you

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki.

Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii maalum ya watoto.

Kumlea mtoto tangu kutungwa kwa mimba mpaka kuzaliwa na hatimaye kulelewa mpaka kuvuka kile kipindi cha hatari si jambo dogo.

Changamoto ni nyingi hasa na zingine hatujui jinsi ya kuzitatua lakini tukiwa na hii mada hapa jukwaani tutashirikishana na kujuzana mengi kwa haraka na uhakika zaidi.

Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji daktari au ufumbuzi wake ni kama huduma ya kwanza kabla hujapata usaidizi mwingine. HII NI TOFAUTI NA JF DOCTOR.

Kwa mfano, ufanyeje;

-Mtoto anapolialia
-Mtoto anapopata gesi tumboni
-Mtoto anapopaliwa kila akila chochote
-Mtoto anaposhtuka shtuka usiku na kulia sana nk k

Hatari zimnyemeleazo mtoto;
-Umeme
-Maji
-Moto
-Mwanga wa Tv
-Simu, mawimbi yake
-Vyombo na vitu mbalimbali
-Madawa na vipodozi nk nk

Hii ni mada pana yenye mambo mengi mno.

Kwa mfano kitunguu saumu ni tiba kwa mtoto anayelia na kushtuka usiku, Kijiko cha asali ni tiba kwa mtoto anayekohoa mfululizo (ukiacha kifua na mafua), Vitu kama mahirizi ya kiunoni na mkononi havimsaidii mtoto, Muda mwingi kumvalisha mtoto nguo nyingi humsababishia nimonia n.k.

Mambo ni mengi...

IKIWAPENDEZA ITAKUWA NI MADA MAALUMU YA WATOTO..

Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha..!
Bro mshana nmechelewa kidogo kuona huu uzi wako lkn sidhani kama nmechelewa sana kuzipata nasaha zako.
Tatzo langu brother ni kwamba ktk harakat za utafutaj nlifanikiwa kukutana na binti nkampa ujauzito nkawa natoa mahtaj yote stahiki mpaka alipojifungua na mpaka sasa bado natoa huduma kwa mama na mtoto ila toka mtoto azaliwe mpaka sasa ana miez 7 sijawah kufanikiwa kumuona kutokana na nature ya kaz yangu na hata huduma nnazotoa huwa naztoa kwa njia ya mitandao.

Tatzo lililopo brother ni kwamba huyu mtoto mama yake amekuwa akinipa taarifa kwamba huwa analia sana usiku kias kwamba huwa anahs anaumwa na anapompeleka hospital huwa hakutwi na tatzo lolote kiafya,mama yake amekuwa akinitaarifu kuwa huwa hawalali usiku kwasababu ya kilio cha mtoto,huwa anakesha nae had kunapokaribia kupambazuka ndipo anatulia na kulala, tatzo hili sio la moja kwa moja bali ni la msimu yaan anaeza akafululiza kulia wik nzma kisha akaacha kwa siku kadhaa na kuanza kulia tena.

Brother hapa tatzo linaweza kuwa nn na vp naweza nkalitatua?nmeanzia mbali sana ili kukupa mwanga zaid wa kuweza kunishaur...Asante
 
Bro mshana nmechelewa kidogo kuona huu uzi wako lkn sidhani kama nmechelewa sana kuzipata nasaha zako.
Tatzo langu brother ni kwamba ktk harakat za utafutaj nlifanikiwa kukutana na binti nkampa ujauzito nkawa natoa mahtaj yote stahiki mpaka alipojifungua na mpaka sasa bado natoa huduma kwa mama na mtoto ila toka mtoto azaliwe mpaka sasa ana miez 7 sijawah kufanikiwa kumuona kutokana na nature ya kaz yangu na hata huduma nnazotoa huwa naztoa kwa njia ya mitandao.Tatzo lililopo brother ni kwamba huyu mtoto mama yake amekuwa akinipa taarifa kwamba huwa analia sana usiku kias kwamba huwa anahs anaumwa na anapompeleka hospital huwa hakutwi na tatzo lolote kiafya,mama yake amekuwa akinitaarifu kuwa huwa hawalali usiku kwasababu ya kilio cha mtoto,huwa anakesha nae had kunapokaribia kupambazuka ndipo anatulia na kulala, tatzo hili sio la moja kwa moja bali ni la msimu yaan anaeza akafululiza kulia wik nzma kisha akaacha kwa siku kadhaa na kuanza kulia tena.Brother hapa tatzo linaweza kuwa nn na vp naweza nkalitatua?nmeanzia mbali sana ili kukupa mwanga zaid wa kuweza kunishaur...Asante
Pole sana sana nakushauri uende ukaione damu yako tafadhali..kuna kitu mtoto anapitia na hicho ndio kinamletea vilio vya kila Mara...please jitahidi uende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenihusu, naomba kuuliza?

Mpenzi wangu anaujazito wa kama week moja, je atumie chakula gani Kitakacho mpa nguvu na mimba kuendelea vizuri.?

Upande wa matunda pia pamoja na vinywaji je atumie kinywaji gani? na asitumie kinywaji kipi? Matunda atumie matunda gani? Na asitumie yapi?

Natanguliza shukuruani, ndo naingia kwenye majukumu.
 
Huu uzi umenihusu, naomba kuuliza?

Mpenzi wangu anaujazito wa kama week moja, je atumie chakula gani Kitakacho mpa nguvu na mimba kuendelea vizuri.?

Upande wa matunda pia pamoja na vinywaji je atumie kinywaji gani? na asitumie kinywaji kipi? Matunda atumie matunda gani? Na asitumie yapi?

Natanguliza shukuruani, ndo naingia kwenye majukumu.
Ale na kunywa vyote anavyopenda huku akiepuka kwa kiasi kikubwa vyakula vya vinywaji vya makopo, artificial na vitu kama nyama za kisasa na mayai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom