Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Mimba ya kwanza ya mke wangu ilitoka na sasa ana wiki mbili kasafishwa.
Na sijui tatizo ni lipi liliopelekea hadi mimba kitoka.
 
Mimba ya kwanza ya mke wangu ilitoka na sasa ana wiki mbili kasafishwa.
Na sijui tatizo ni lipi liliopelekea hadi mimba kitoka.
Ilikuwa na miezi mingapi? Alikuwa anafanya kazi ngumu? Vipimo vinasemaje? Alikuwa na shinikizo la damu? Alikuwa na dalili za kichaa CHA mimba?
 
Ilikuwa na miezi mingapi? Alikuwa anafanya kazi ngumu? Vipimo vinasemaje? Alikuwa na shinikizo la damu? Alikuwa na dalili za kichaa CHA mimba?

Miez miwili, kazi aliyokuwa anafanya ni kufua labda na kupiga deki ndani, vipimo group la damu ni A, hama maambukizi yeyote, ana pressure kiasi, dalili za kichaa cha mimba sijui.
 
Miez miwili, kazi aliyokuwa anafanya ni kufua labda na kupiga deki ndani, vipimo group la damu ni A, hama maambukizi yeyote, ana pressure kiasi, dalili za kichaa cha mimba sijui.
Mmh mimba kutoka na miezi miwili sio kitu cha kawaida sana kwakuwa kwa umri huo hata mtoto haujaumbika vizuri..... Nakushauri kafanye vipimo vya uhakika
 
Kwakweli ikibidi usiwashe kabisa hata kwa mtu mzima....na kama ukiwasha iwe low kabisa
Mkuu hapa kama unanikanganya kliniki za Dar wanawasha mafeni na kuvua nguo watoto na vyumba vya kulaza watoto AC ziko below 20 degree C ukipandisha ugomvi na manesi!wanasema cha muhimu feni na chumba kiwe safi kusiwe na vumbi muwashie mtoto feni
 
Haya mambo yanachanganya ila kwa uzoefu wangu sio nzuri kabisa labda iwekwe mbali
 
Mimba ya kwanza ya mke wangu ilitoka na sasa ana wiki mbili kasafishwa.
Na sijui tatizo ni lipi liliopelekea hadi mimba kitoka.
Kusafishwa tunapenda Sana ila kama I'm back imetoka na hakuna tatizo tuache tumbo la uzazi lijisafishe lenyewe jamani
 
Kikohozi ni tatizo kubwa lisumbualo watoto changanya manjano(binzari) kijiko kimoja na asali mbichi vijiko vitatu koroga hadi mchanganyiko uchanganyike vizuri

Then mlambishe mwanao mara kwa Mara utaona matokeo yake
 
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki.

Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii maalum ya watoto.

Kumlea mtoto tangu kutungwa kwa mimba mpaka kuzaliwa na hatimaye kulelewa mpaka kuvuka kile kipindi cha hatari si jambo dogo.

Changamoto ni nyingi hasa na zingine hatujui jinsi ya kuzitatua lakini tukiwa na hii mada hapa jukwaani tutashirikishana na kujuzana mengi kwa haraka na uhakika zaidi.

Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji daktari au ufumbuzi wake ni kama huduma ya kwanza kabla hujapata usaidizi mwingine. HII NI TOFAUTI NA JF DOCTOR.

Kwa mfano, ufanyeje;

-Mtoto anapolialia
-Mtoto anapopata gesi tumboni
-Mtoto anapopaliwa kila akila chochote
-Mtoto anaposhtuka shtuka usiku na kulia sana nk k

Hatari zimnyemeleazo mtoto;
-Umeme
-Maji
-Moto
-Mwanga wa Tv
-Simu, mawimbi yake
-Vyombo na vitu mbalimbali
-Madawa na vipodozi nk nk

Hii ni mada pana yenye mambo mengi mno.

Kwa mfano kitunguu saumu ni tiba kwa mtoto anayelia na kushtuka usiku, Kijiko cha asali ni tiba kwa mtoto anayekohoa mfululizo (ukiacha kifua na mafua), Vitu kama mahirizi ya kiunoni na mkononi havimsaidii mtoto, Muda mwingi kumvalisha mtoto nguo nyingi humsababishia nimonia n.k.

Mambo ni mengi...

IKIWAPENDEZA ITAKUWA NI MADA MAALUMU YA WATOTO..

Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha..!
 
Asanteni kwa kuleta uzi huu, naomba kuelimishwa kuhusu uzazi wa mpango, kuna mdogo wangu kaweka vijiti vile vya kwenye mkono vya miaka mitatu, ana mwaka mmoja na nusu haendi mwezin,anatakiwa atoe mwakani mwez wa 4 lakini kuanzia mwez uliopita amekua akisumbuliwa na UTI zisizoisha na amekua mchovu sana,je kijiti chaweza kuwa sababu na kutokuingia MP kwa muda wote huo ni tatizo?

Japo aliwahi kurud alikowekewa kijiti wakamwambia haina athari. Je, e akitoa kijiti lazima asafishwe, msaada wenu tafadhali wenye uelewa hapo, asanteni
 
Asanteni kwa kuleta uzi huu,,naomba kuelimishwa kuhusu uzazi wa mpango,,kuna mdogo wangu kaweka vijiti vile vya kwenye mkono vya miaka mitatu,,ana mwaka mmoja na nusu haendi mwezin,anatakiwa atoe mwakani mwez wa 4 lakini kuanzia mwez uliopita amekua akisumbuliwa na UTI zisizoisha na amekua mchovu sana,je kijiti chaweza kuwa sababu na kutokuingia MP kwa muda wote huo ni tatizo?japo aliwahi kurud alikowekewa kijiti wakamwambia haina athari,,je akitoa kijiti lazima asafishwe,,msaada wenu tafadhali wenye uelewa hapo,,asanteni
Naomba nishauri kama ifuatavyo japo naweza kupingana na serikali...
Haya mambo ya vijiti au vidonge vya mpango nk vyote vina madhara kwa watumiaji na madhara yanatofautiana

Ushauri wangu avitoe kisha akubali kuwa na kipindi kigumu cha mpito wakati mwili unajirekebisha kurudi kwenye uasili wake
 
Back
Top Bottom