Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,845
- Thread starter
- #641
Sahihi kabisa kakamshana jr usemacho ni sahihi, wazazi sisi wa umri wetu huu, tumekuwa busy na maisha ili familia iishi vizuri eti! lakini kiuhalisia kadiri unavyokaa mbali na watoto ndivyo ukaribu nao unavyopotea...
kwa mfano hii mitindo ya kupeleka watoto shule za kulala kuanzia chekechea, kwangu haiingii akilikini kabisa.....