Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kuwashwa usiku husababishwa na ugonjwa unaitwa Scabies, kujikuna ni usiku tu, maeneo ya mapajani, makalioni na hata sehemu za siri, mwanangu aliumwa uo ugonjwa nilihangaika sana ingawa na mimi ni Dr, ila nilivogundua alipona fasta sana tu.

Nilitumia dawa moja inaitwa BBE, halafu na ya kuzuia kuwashwa inaitwa calamine lotion zinapatikana TZ yote kwa bei ndogo tu.
 
Asante kwa elimu na maarifa... Barikiwa sana
 
Mwanangu mwenye umri wa miezi 9 anakojoa mkojo wa njano kiasi kwamba anaweka rangi ya njano iliyofifia kwenye bukta nyeupe anayovaa...

Na mkojo wenyewe watoa harufu kali sana ya mkojo...!

Je, kuna tatizo kweli hapo...? Na kama lipo...ni lipi tatizo hilo...?

Na tunalitatuaje naombeni mawazo yenu...
 
Hapati maji ya kunywa ya kutosha.. Jaribu kumpa maji mengi hiyo hali itapotea kabisa
 
Jamani Msaada Nina Kijana Wangu Anamiaka 21 Anasoma Bsc
Kutwa Kutwa Anasumbua Nimnunulie Kiwanja Msaada Jamani Nimpe Jibu Gani Mbona Bado Mapema ..
 
Jamani Msaada Nina Kijana Wangu Anamiaka 21 Anasoma Bsc
Kutwa Kutwa Anasumbua Nimnunulie Kiwanja Msaada Jamani Nimpe Jibu Gani Mbona Bado Mapema ..
Matarajirio ya ujanani na hofu ya umiliki... Lakini pia unapaswa kukaa naye chini muongee kwa kina ... Kwa msaada zaidi pitia mada hii

 
Shusha nondo kwasababu elimu ya namna ya kumkea mtoto ikitolewa vyema itasaidia sana Jamii nzima kuwa na uangalifu kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…