Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

B

Baba Nla

Member
Joined
Nov 21, 2018
Messages
26
Points
75
B

Baba Nla

Member
Joined Nov 21, 2018
26 75
ni wiki ya tatu mwanangu miaka2 analia usiku kuanzia saa Nane usiku hadi Kumi alfajiri.

Anawashwa mwili Mzima, anajiKuna namsaidia nashindwa. Msaada Jamani. Mchana yuko salama Akicheza na Watoto wengine bila shida. Akilala mchana analala bila shida. Lkn by saa 8 -10 usiku lazima aamke alijikuneeee analiaaaa sanaaaa.
Madaktar wanasema Anasurua..hiv wakuu Surua hukaa Muda gani na je inawasha. Help
Kuwashwa usiku husababishwa na ugonjwa unaitwa Scabies, kujikuna ni usiku tu, maeneo ya mapajani, makalioni na hata sehemu za siri, mwanangu aliumwa uo ugonjwa nilihangaika sana ingawa na mimi ni Dr, ila nilivogundua alipona fasta sana tu, Nilitumia dawa moja inaitwa BBE, halafu na ya kuzuia kuwashwa inaitwa calamine lotion zinapatikana TZ yote kwa bei ndogo tu.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
115,820
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
115,820 2,000
Kuwashwa usiku husababishwa na ugonjwa unaitwa Scabies, kujikuna ni usiku tu, maeneo ya mapajani, makalioni na hata sehemu za siri, mwanangu aliumwa uo ugonjwa nilihangaika sana ingawa na mimi ni Dr, ila nilivogundua alipona fasta sana tu, Nilitumia dawa moja inaitwa BBE, halafu na ya kuzuia kuwashwa inaitwa calamine lotion zinapatikana TZ yote kwa bei ndogo tu.
Asante kwa elimu na maarifa... Barikiwa sana
 
Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,506
Top