• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
3,024
Points
2,000
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
3,024 2,000
kwa sisi tuliomiji o watoto wetu hawana co nection na maisha halisi tuliyoishki sisi na tunaon kama tuliishki maishka magumu sana kumbe si kweli yale ndo maisha halisi yenye utu,umoja, udugu na uhalisia watoto wetu hawako con ectes na nature wakiona mbuzi wanasema.mbwa wakiona mbwa wanasema simba wanaihopa paka kuku atoto wa mbuzi nk. watoto hkawa hawatakuja kuelewa maana halisi ya maisha kwa kuwa wanaishi maishka ya upande mmoja tu mijini...... tuwapeleke watoto kw aale ndgu zetu mfano mashangazi wajomba mama wafogo wasio na maisha ya juu kule kijijini watajifunza mambo mengi ... kutumia choo cha kulenga hakuna kuoga wala kuambiwa wakalale kuchota maji kuchuma mboga kucheza kwenye kua kali bila viatu na wenzao wataona wenzao hawana viatu watajua kuna watu wanamahitajlli .... nimepaata fundisho kubwa sana watoto wamekataa kurudi mjini nimelazimika kuongeza likizo ili waendele kukaa na ndugu zao hulo kijijklini wanashinda machungani kucheza wanafundishwa kuwinda ndege wadudu nk KUNA ELIMU KUNWA SANA WANAIPATA WAWAPO KWA NDUGU ZAO WA ORIGIN YAO NA WAKO SO CONNECTED WANAOATA WASAA WAKUKIFUNZA LUGHA ASILI NA ELIMU NA USTADI MWINGINE AMBAO HAUFUNDISHWI DARASANI KWENYE HKAYA MASHULE YETU NA KUNA MENGINE Mshuleni wanafundishwa lakini hakuna pakuyaona Yale sisi wazazi tunayoona ni changamoto kama kukosa majlli vyoo bora milo ya mboga saba na mikaango kumbe si hitaji la watoto wa mijini..... WITO WANGU LIKIZO KWA WALE AMBAO HAWAJAPATA NAFASI TAFADHALI PELEKENI WATOTO KWA NDUGU WA KULE KIJIJINI
 
frem zero

frem zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Messages
584
Points
1,000
frem zero

frem zero

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2016
584 1,000
Hapana ni kweli kabisa, subiri mrejesho
Mrejesho. Mwanangu jana kaanza kuita mama, yaani nikimwambia sema mama anasema "amamaa". Yaani nimefurahi mno na nimemshukuru Mungu. Pia nilimpeleka hospitali daktari akasema hana tatizo lolote bado mdogo. Kama atatimiza mwaka na nusu hajaongea nimpeleke tena.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000

Safi kabisa.. Mungu ashukuriwe
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
Mshana on the fleek
Daaah unajua kuliwaza mzee baba
Mrejesho. Mwanangu jana kaanza kuita mama, yaani nikimwambia sema mama anasema "amamaa". Yaani nimefurahi mno na nimemshukuru Mungu. Pia nilimpeleka hospitali daktari akasema hana tatizo lolote bado mdogo. Kama atatimiza mwaka na nusu hajaongea nimpeleke tena.
 
I

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
5,905
Points
2,000
I

ipogolo

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2011
5,905 2,000
Mshana jr! Ni Kweli mtoto ukimpa chakula ( samaki,) blue band, majani ya maboga anakuwa na kumbukumbu ( akili) nyingi?
Wakerewe wanajisifia akili eti walikula samaki wakiwa watoto.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
Mshana jr! Ni Kweli mtoto ukimpa chakula ( samaki,) blue band, majani ya maboga anakuwa na kumbukumbu ( akili) nyingi?
Wakerewe wanajisifia akili eti walikula samaki wakiwa watoto.
Ni dhana dhanifu lakini pengine kuna ukweli ndani yake
 
fofre

fofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
703
Points
1,000
fofre

fofre

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
703 1,000
Habari zenu wadau, tunaendelea kujifunza na kupata mapya kupitia thread hii, hongera kaka Mshana Jr .
Tatizo ambalo naomba msaada ni kwa mtoto wangu ambae ana umri wa mwaka, hapendi kula chochote zaidi ya kunyonya tu, hospitali kapimwa haumwi chochote na minyoo hana, msaada kwa wanaofahamu au waliopitia changamoto hii..
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
Habari zenu wadau, tunaendelea kujifunza na kupata mapya kupitia thread hii, hongera kaka Mshana Jr .
Tatizo ambalo naomba msaada ni kwa mtoto wangu ambae ana umri wa mwaka, hapendi kula chochote zaidi ya kunyonya tu, hospitali kapimwa haumwi chochote na minyoo hana, msaada kwa wanaofahamu au waliopitia changamoto hii..
maziwa ya mama ni bora kuliko chakula cha kupikwa.. Mwache kwanza ila juice fresh na matunda usiache kumpa
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,825
Points
2,000
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,825 2,000
Uzi utanisaidia sana huu,kijana wangu wa kwanza kuna mistakes nilizifanya na sasa zinani-cost vibaya sana kiasi najikuta nawaza hadi nataka kuzeeka ningali mdogo.

Naweka kituo nasoma hatua kwa hatua labda nitakutana na litakalonisaidia.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
Uzi utanisaidia sana huu,kijana wangu wa kwanza kuna mistakes nilizifanya na sasa zinani-cost vibaya sana kiasi najikuta nawaza hadi nataka kuzeeka ningali mdogo.

Naweka kituo nasoma hatua kwa hatua labda nitakutana na litakalonisaidia.
 
L

LionsGate

Member
Joined
Jun 30, 2019
Messages
76
Points
125
L

LionsGate

Member
Joined Jun 30, 2019
76 125
kwa sisi tuliomiji o watoto wetu hawana co nection na maisha halisi tuliyoishki sisi na tunaon kama tuliishki maishka magumu sana kumbe si kweli yale ndo maisha halisi yenye utu,umoja, udugu na uhalisia watoto wetu hawako con ectes na nature wakiona mbuzi wanasema.mbwa wakiona mbwa wanasema simba wanaihopa paka kuku atoto wa mbuzi nk. watoto hkawa hawatakuja kuelewa maana halisi ya maisha kwa kuwa wanaishi maishka ya upande mmoja tu mijini...... tuwapeleke watoto kw aale ndgu zetu mfano mashangazi wajomba mama wafogo wasio na maisha ya juu kule kijijini watajifunza mambo mengi ... kutumia choo cha kulenga hakuna kuoga wala kuambiwa wakalale kuchota maji kuchuma mboga kucheza kwenye kua kali bila viatu na wenzao wataona wenzao hawana viatu watajua kuna watu wanamahitajlli .... nimepaata fundisho kubwa sana watoto wamekataa kurudi mjini nimelazimika kuongeza likizo ili waendele kukaa na ndugu zao hulo kijijklini wanashinda machungani kucheza wanafundishwa kuwinda ndege wadudu nk KUNA ELIMU KUNWA SANA WANAIPATA WAWAPO KWA NDUGU ZAO WA ORIGIN YAO NA WAKO SO CONNECTED WANAOATA WASAA WAKUKIFUNZA LUGHA ASILI NA ELIMU NA USTADI MWINGINE AMBAO HAUFUNDISHWI DARASANI KWENYE HKAYA MASHULE YETU NA KUNA MENGINE Mshuleni wanafundishwa lakini hakuna pakuyaona Yale sisi wazazi tunayoona ni changamoto kama kukosa majlli vyoo bora milo ya mboga saba na mikaango kumbe si hitaji la watoto wa mijini..... WITO WANGU LIKIZO KWA WALE AMBAO HAWAJAPATA NAFASI TAFADHALI PELEKENI WATOTO KWA NDUGU WA KULE KIJIJINIKhabarini wakuu.

Hope you are all okay with family and friends.

Nimeona ni muhimu zaidi tutafakari kwa pamoja, tupeane uzoefu kuhusiana na swali la kuwapeleka vijana likizo, iwe vijijini, iwe popote pale, au hata kwa muda wa masaa yaani, kujichanganya na familia zetu.

Mkuu Gidbang, naipenda fikra hiyo, naiunga mkono pia. Hayo uliyo yaongelea ni mambo chanya matupu, pasina kuzingatia vile vile mambo hasi yawezayo kuibuka na kuyachafua mazingira kabisa kwa kuyafifiza, au kuyapoteza malengo, endapo mtu ataharibikiwa.

Twende moja kwa moja kwenye maswali muhim ya kujiuliza kabla ya kuanzisha harakati au zoezi hilo muhim:
1.- Umri wa hao vijana lazima uzingatiwe. Waanao ni wapevu kiasi gani, ukilinganisha kupevuka kwao na kwa hao wa familia nyingine uliyo ilenga kuwa hosts wa familia yako?

* Ima wako wawa pelekee vijitabia vya ajabu ajabu huko! Utayajua kipindi unapo zipata salam za yaliyo jiri huko! Dah!
Na endapo walikuwa salama, utawaona wanapo rudi, wamebadilika na kuwa na kiwango kisicho kupendeza cha matukio yao pendwa, mfano, utukutu chizi, hadi wanakuyeyusha!

2.- Mmetaarifianaje na kutayarishana vipi kuhusu tabia fikirishi za vijana hao?
Kwa mfano, kijana wangu wa miaka 11 kamshawishi binti wa ndugu yangu, miaka 13 na kamuharibu. Huyu ni kijana wa mjini, binti wa kijijini. Wazazi, tusikhofie kueka jambo kama hili bayana, na kuiweka mikakati husika ili surveilance murua ifanyike. Kinga ni bora kuliko tiba

3.- Msikurupuki na kuwapeleka watoto pasina kuyakaguwa mazingira ki afya: ya nyumba yako, na ya nyumba lengwa, khususan kwa yale magonjwa sugu au ya hatari, mfano magonjwa ya ngozi, TB nak...
Usimchelei ndugu yako kumuuliza kama hamna hata kwa majirani wa karibu, aliye na ukoma au TB ndani kwake
Hayo ni machache katika maswahiba lukuki yaliyo nikuta. Lakini hayakunivunja moyo, nililazimika ku charge bongo yangu sana yaani, kuwa muangalifu na pia kuhamasishana zaidi ili tumudu kuishi pamoja kama family.

Namshukuru Mungu, hayo ya ukoma na TB sasa yamepita, imebaki tuu kumbukumbu.

Lakini kwa huyu mvulana, leo 15 yrs old na dyudyu lake, kesi, kuhamishwa shule na constant couselling bado ninavyo! Tuombeaneni duah wazee! Shiddaaa!
Sielewi kwa NINI hawa madudu walichaguliwaje jina la "UVULANA!" Duuuh!!! Huyu wangu anawavuwa nguo wasichana, balaa yaani! Mama yake hadi pressure imejitokeza!
Nawasilisha...
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
Khabarini wakuu.

ewe Mungu unayesikia maombi ya waja wako tuokoe na hili zimwi litishalo
 
mwisho2016

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Messages
729
Points
1,000
mwisho2016

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2016
729 1,000
ni wiki ya tatu mwanangu miaka2 analia usiku kuanzia saa Nane usiku hadi Kumi alfajiri.

Anawashwa mwili Mzima, anajiKuna namsaidia nashindwa. Msaada Jamani. Mchana yuko salama Akicheza na Watoto wengine bila shida. Akilala mchana analala bila shida. Lkn by saa 8 -10 usiku lazima aamke alijikuneeee analiaaaa sanaaaa.
Madaktar wanasema Anasurua..hiv wakuu Surua hukaa Muda gani na je inawasha. Help
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
ni wiki ya tatu mwanangu miaka2 analia usiku kuanzia saa Nane usiku hadi Kumi alfajiri.

Anawashwa mwili Mzima, anajikina namsaidia nashindwa. Msaada Jamani. Mchana yuko salama Akicheza na Watoto wengine bila shida. Akilala mchana analala bila shida. Lkn by saa 8 -10 usiku lazima aamke alijikune analia sana.
Madaktar wanasema Anasuria..hiv wakuu Surua hukaa Muda gani na je inawasha. Help
Mmh surua huja na vipele mwili mzima je ana hizo dalili?
Ushauri wangu kabla ya kulala mwogeshe na maji yenye chumvi kwa mbali kisha mpake olive oil
 
mwisho2016

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Messages
729
Points
1,000
mwisho2016

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2016
729 1,000
Mmh surua huja na vipele mwili mzima je ana hizo dalili?
Ushauri wangu kabla ya kulala mwogeshe na maji yenye chumvi kwa mbali kisha mpake olive oil
sawa....ndio anavipele.. navinaelekea kwisha lkn Bado anawashwa.

chumvi inasaidia nini na akioga kwa mbali inatokea nini mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,402,733
Members 530,976
Posts 34,403,650
Top