kwa sisi tuliomiji o watoto wetu hawana co nection na maisha halisi tuliyoishki sisi na tunaon kama tuliishki maishka magumu sana kumbe si kweli yale ndo maisha halisi yenye utu,umoja, udugu na uhalisia watoto wetu hawako con ectes na nature wakiona mbuzi wanasema.mbwa wakiona mbwa wanasema simba wanaihopa paka kuku atoto wa mbuzi nk. watoto hkawa hawatakuja kuelewa maana halisi ya maisha kwa kuwa wanaishi maishka ya upande mmoja tu mijini...... tuwapeleke watoto kw aale ndgu zetu mfano mashangazi wajomba mama wafogo wasio na maisha ya juu kule kijijini watajifunza mambo mengi ... kutumia choo cha kulenga hakuna kuoga wala kuambiwa wakalale kuchota maji kuchuma mboga kucheza kwenye kua kali bila viatu na wenzao wataona wenzao hawana viatu watajua kuna watu wanamahitajlli .... nimepaata fundisho kubwa sana watoto wamekataa kurudi mjini nimelazimika kuongeza likizo ili waendele kukaa na ndugu zao hulo kijijklini wanashinda machungani kucheza wanafundishwa kuwinda ndege wadudu nk KUNA ELIMU KUNWA SANA WANAIPATA WAWAPO KWA NDUGU ZAO WA ORIGIN YAO NA WAKO SO CONNECTED WANAOATA WASAA WAKUKIFUNZA LUGHA ASILI NA ELIMU NA USTADI MWINGINE AMBAO HAUFUNDISHWI DARASANI KWENYE HKAYA MASHULE YETU NA KUNA MENGINE Mshuleni wanafundishwa lakini hakuna pakuyaona Yale sisi wazazi tunayoona ni changamoto kama kukosa majlli vyoo bora milo ya mboga saba na mikaango kumbe si hitaji la watoto wa mijini..... WITO WANGU LIKIZO KWA WALE AMBAO HAWAJAPATA NAFASI TAFADHALI PELEKENI WATOTO KWA NDUGU WA KULE KIJIJINI
Khabarini wakuu.
Hope you are all okay with family and friends.
Nimeona ni muhimu zaidi tutafakari kwa pamoja, tupeane uzoefu kuhusiana na swali la kuwapeleka vijana likizo, iwe vijijini, iwe popote pale, au hata kwa muda wa masaa yaani, kujichanganya na familia zetu.
Mkuu Gidbang, naipenda fikra hiyo, naiunga mkono pia. Hayo uliyo yaongelea ni mambo chanya matupu, pasina kuzingatia vile vile mambo hasi yawezayo kuibuka na kuyachafua mazingira kabisa kwa kuyafifiza, au kuyapoteza malengo, endapo mtu ataharibikiwa.
Twende moja kwa moja kwenye maswali muhim ya kujiuliza kabla ya kuanzisha harakati au zoezi hilo muhim:
1.- Umri wa hao vijana lazima uzingatiwe. Waanao ni wapevu kiasi gani, ukilinganisha kupevuka kwao na kwa hao wa familia nyingine uliyo ilenga kuwa hosts wa familia yako?
* Ima wako wawa pelekee vijitabia vya ajabu ajabu huko! Utayajua kipindi unapo zipata salam za yaliyo jiri huko! Dah!
Na endapo walikuwa salama, utawaona wanapo rudi, wamebadilika na kuwa na kiwango kisicho kupendeza cha matukio yao pendwa, mfano, utukutu chizi, hadi wanakuyeyusha!
2.- Mmetaarifianaje na kutayarishana vipi kuhusu tabia fikirishi za vijana hao?
Kwa mfano, kijana wangu wa miaka 11 kamshawishi binti wa ndugu yangu, miaka 13 na kamuharibu. Huyu ni kijana wa mjini, binti wa kijijini. Wazazi, tusikhofie kueka jambo kama hili bayana, na kuiweka mikakati husika ili surveilance murua ifanyike. Kinga ni bora kuliko tiba
3.- Msikurupuki na kuwapeleka watoto pasina kuyakaguwa mazingira ki afya: ya nyumba yako, na ya nyumba lengwa, khususan kwa yale magonjwa sugu au ya hatari, mfano magonjwa ya ngozi, TB nak...
Usimchelei ndugu yako kumuuliza kama hamna hata kwa majirani wa karibu, aliye na ukoma au TB ndani kwake
Hayo ni machache katika maswahiba lukuki yaliyo nikuta. Lakini hayakunivunja moyo, nililazimika ku charge bongo yangu sana yaani, kuwa muangalifu na pia kuhamasishana zaidi ili tumudu kuishi pamoja kama family.
Namshukuru Mungu, hayo ya ukoma na TB sasa yamepita, imebaki tuu kumbukumbu.
Lakini kwa huyu mvulana, leo 15 yrs old na dyudyu lake, kesi, kuhamishwa shule na constant couselling bado ninavyo! Tuombeaneni duah wazee! Shiddaaa!
Sielewi kwa NINI hawa madudu walichaguliwaje jina la "UVULANA!" Duuuh!!! Huyu wangu anawavuwa nguo wasichana, balaa yaani! Mama yake hadi pressure imejitokeza!
Nawasilisha...