frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 598
- 874
Mrejesho. Mwanangu jana kaanza kuita mama, yaani nikimwambia sema mama anasema "amamaa". Yaani nimefurahi mno na nimemshukuru Mungu. Pia nilimpeleka hospitali daktari akasema hana tatizo lolote bado mdogo.Hapana ni kweli kabisa, subiri mrejesho
Kama atatimiza mwaka na nusu hajaongea nimpeleke tena.