Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
102,309
Likes
120,719
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
102,309 120,719 280
Habari za jioni.. Ninamtoto wa kike miez 11, tatizo mtoto huyu anakula sana nguo.. Yaani akiona nguo umeivaa au ipo mahali popote anaitafuna .. Hii husababishwa na nini? Au ni hali ya ukuaji kwa mtoto
Ni tatizo la kisaikolojia.. Wengine hula udongo vipande vya sigara njiti za kibiriti nknk... Ni tatizo lenye mahusiano makubwa tangu kutungwa kwa mimba na vitamin alizokosa mama.. Tafuta daktari bingwa kwakuwa wengine hufikia hatua ya kula kinyesi
 
Complicator

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Messages
1,077
Likes
1,351
Points
280
Complicator

Complicator

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2013
1,077 1,351 280
Mwanangu kitovu chake kimevimba mbele kidogo,madaktari walinambia hakina shida ipo siku kitakaa sawa lakini naona kama siamini hivi ingawa mtoto haoneshi kuwa anapata maumivu yeyote...kuna mtu ashawahi patwa na hili na alitatuaje?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
102,309
Likes
120,719
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
102,309 120,719 280
Mwanangu kitovu chake kimevimba mbele kidogo,madaktari walinambia hakina shida ipo siku kitakaa sawa lakini naona kama siamini hivi ingawa mtoto haoneshi kuwa anapata maumivu yeyote...kuna mtu ashawahi patwa na hili na alitatuaje?
Mfunge shilingi tano na plasta kitarudi...
 
K

kolorama

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
268
Likes
134
Points
60
Age
48
K

kolorama

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
268 134 60
Mtoto ana umri wa miaka miwili ila hawezi kuongea. Please assist Mr Mshana
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
102,309
Likes
120,719
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
102,309 120,719 280
Mtoto ana umri wa miaka miwili ila hawezi kuongea. Please assist Mr Mshana
Ni kawaida kuna baadhi ya watoto huchelewa hata kutembea kutokana na sababu mbalimbali ila kwa ushauri zaidi wasiliana na daktari bingwa wa watoto
 
K

kolorama

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
268
Likes
134
Points
60
Age
48
K

kolorama

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
268 134 60
Ni kawaida kuna baadhi ya watoto huchelewa hata kutembea kutokana na sababu mbalimbali ila kwa ushauri zaidi wasiliana na daktari bingwa wa watoto
Nilishafanya akasema hana tatizo. Ila nitarudi tena maana I wish nikirudi akiwa ananikimbilia asema.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
102,309
Likes
120,719
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
102,309 120,719 280
Nilishafanya akasema hana tatizo. Ila nitarudi tena maana I wish nikirudi akiwa ananikimbilia asema.
Subiri atimize miaka 3 tafadhali, usije ukaenda akaanza kupewa midawa ya kizungu
 
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
2,258
Likes
1,225
Points
280
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
2,258 1,225 280
Weka pilipili ataacha ao weka muarubaini.
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
2,489
Likes
2,573
Points
280
Age
48
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
2,489 2,573 280
Mada haitamilika kama tutaacha hii kitu bila kukumbushana.
img_bohjy_hgkox-jpg.910017
 
mtu mwembamba

mtu mwembamba

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
273
Likes
260
Points
80
mtu mwembamba

mtu mwembamba

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
273 260 80
Habarini zenu wakuu? Nina mtoto ana umri Wa miezi 5, tatizo mtoto huyu akilala anakua analia ( akiwa usingizini) hii husababishwa na nini au ni hali ya ukuaji? Naombeni maoni na ushauri juu ya hili
 

Forum statistics

Threads 1,238,888
Members 476,226
Posts 29,335,672