Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Mwanangu kitovu chake kimevimba mbele kidogo,madaktari walinambia hakina shida ipo siku kitakaa sawa lakini naona kama siamini hivi ingawa mtoto haoneshi kuwa anapata maumivu yeyote...kuna mtu ashawahi patwa na hili na alitatuaje?
 
Mtoto ana umri wa miaka miwili ila hawezi kuongea. Please assist Mr Mshana
Ni kawaida kuna baadhi ya watoto huchelewa hata kutembea kutokana na sababu mbalimbali ila kwa ushauri zaidi wasiliana na daktari bingwa wa watoto
 
Ni kawaida kuna baadhi ya watoto huchelewa hata kutembea kutokana na sababu mbalimbali ila kwa ushauri zaidi wasiliana na daktari bingwa wa watoto
Nilishafanya akasema hana tatizo. Ila nitarudi tena maana I wish nikirudi akiwa ananikimbilia asema.
 
Mada haitamilika kama tutaacha hii kitu bila kukumbushana.
img_BoHjy_hgKOx.jpg
 
Habarini zenu wakuu? Nina mtoto ana umri Wa miezi 5, tatizo mtoto huyu akilala anakua analia ( akiwa usingizini) hii husababishwa na nini au ni hali ya ukuaji? Naombeni maoni na ushauri juu ya hili
 
Habarini zenu wakuu? Nina mtoto ana umri Wa miezi 5, tatizo mtoto huyu akilala anakua analia ( akiwa usingizini) hii husababishwa na nini au ni hali ya ukuaji? Naombeni maoni na ushauri juu ya hili
Ni ngumu kufanya predictions lakini binafsi nakushauri muogeshee na maji yaliyochanganywa na chumvi kidogo... Chumvi ni tiba nzuri kwa nguvu hasi zote... Na mojawapo ya vitu vinavyomfanya mtoto alie ama astukestuke usingizini ni hizo nguvu hasi
 
Back
Top Bottom