Ujinga mtupu.
Yaani my ndugu umenichekesha sanaImani na more often ni destructive. Nakumbuka dada yangu alijifungua huko Morogoro, majirani wakampa hayo madude. Alivyokuja nyumbani Tabora na mtoto, baba akamuuliza ni nini hiyo. Akaanza kujikanyaga na kujieleza alivyoelezwa, baba akalikata hilo kamba, na kumwambia mbona wewe umekuwa na hukuvalishwa hayo madude.
Nikiangalia tabia ya huyu mtoto, yaani ni kama she is posessed hivi.
It is very true, yaani nikitafuta source za tabia za ajabu ajabu za niece wangu hata sipati zaidi ya devil's work. So huenda kwa kumvalisha hayo mahirizi (kamba) kunakuwa na convenant fulani inakuwa imefanyika sema watu hawajui tu.Yaani my ndugu umenichekesha sana
Upo NN?
hebu tazama my signature
nilipoweka 'that' niweke 'which' ?
au iko safi?
..alafu cha ajabu wazazi wenyewe hawavai hayo makamba wanawavisha watotot wao tuu!
Nilifikiri kwa kijana wa kisasa hawezi kuendekeza hizo habari lakini nimeshangaa kumwona kijana hapo pichani ana'entertain hizo makitu.
There are things in life that are very difficult to explain