Kwa watumiaji wa supu ya kongoro someni hapa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Supu pendwa ya kongoro huwa inaandaliwa katika mazingira mabovu na mchafu sana.

Si wapishi Si masufiria ya kupikia Si vijiko na si vibanda vyao yaani uchafu uchafu tu.

Mathalani unamuona mtu ameshika fegi mkono mmoja na mkono mwingine anaparua kongoro na kulizamisha kwenye maji ya moto kwenye sufuria chafu.

Au unaona mama anapenga makamasi na kujifutia mikono inayoparua kongoro.

Kwakweli kongoro ni tamu licha ya mazingira mabovu sana ya mapishi na wapikaji.

Bora tu kitimoto rost na dona
 
Supu pendwa ya kongoro huwa inaandaliwa katika mazingira mabovu na mchafu sana.

Si wapishi Si masufiria ya kupikia Si vijiko na si vibanda vyao yaani uchafu uchafu tu.

Mathalani unamuona mtu ameshika fegi mkono mmoja na mkono mwingine anaparua kongoro na kulizamisha kwenye maji ya moto kwenye sufuria chafu.

Au unaona mama anapenga makamasi na kujifutia mikono inayoparua kongoro.

Kwakweri kongoro ni tamu licha ya mazingira mabovu sana ya mapishi na wapikaji.

Bora tu kitimoto rost na dona
Kwakweli
 
Ni huko unakoishi mkuu, sisi huku inakuja imeshaandalia kiutaalam kutoka machinjioni hivyo inapofika kwa mpishi ni kuosha na kuweka jikoni labda hizo za vichochoroni pia kabla hujanunua ni lazima uangalie mazingira na mpishi mwenyewe si supu tu chochote kile
 
Supu pendwa ya kongoro huwa inaandaliwa katika mazingira mabovu na mchafu sana.

Si wapishi Si masufiria ya kupikia Si vijiko na si vibanda vyao yaani uchafu uchafu tu.

Mathalani unamuona mtu ameshika fegi mkono mmoja na mkono mwingine anaparua kongoro na kulizamisha kwenye maji ya moto kwenye sufuria chafu.

Au unaona mama anapenga makamasi na kujifutia mikono inayoparua kongoro.

Kwakweri kongoro ni tamu licha ya mazingira mabovu sana ya mapishi na wapikaji.

Bora tu kitimoto rost na dona
Acha fitna..! Hata mke ukimchunguza sana hukai nae.
 
Mimi ni mpenzi wa hii kitu sana ila kuna wakati hamu inanitoka kabisa mkono huohuo anapokelea pesa,huo huo anashika anakatia kongoro,hiyo tisa alijifunua akajikuna kiunoni hiyo boxer duh niliachaje manyoya?ila wapo wachache wastaarabu sana
 
Mbona hii sio kwenye kongoro tu
 
Back
Top Bottom