Kwa watumiaji wa Paypal na online purchasers

Sales93

Senior Member
Mar 5, 2014
146
73
Habari zenu wanajamvi, poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nahitaji msaada wenu hasa kwa wale mnaofanya online purchasing through wireless money transfer (Card not present environments), Nimeactivate account yangu ya CRDB kuweza kufanya online purchasing na tayari kadi imeshakuwa enabled na CRDB wenyewe, tatizo linapokuja ni pale ninapojaribu kulink account yangu ys paypal na kadi ya CRDB, nikishajaza ile fomu yao inayotaka Billing Address, City, Region e.t.c na kusave ninakutana na ujumbe unaosema (This card is not accepted, Please use a different card) Naombeni msaada wenu juu ya kutatua tatizo hili.
 
Mkuu wala usihangaike, hii ni nchi ya kijinga sijawahi kuona, Tanzania hakuna huduma ya PayPal, mimi nimejaribu ikishindikana na kazi zangu zikalala.
 
Si kweli..umetumia paypal mwisho lini...mimi nimetumia account ya paypal 9 december 2016...na kuanzia january nimeanza kupokea vifushi vyangu nilivyo lipia ebay kupitia paypal...
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Jaribu kucheki km kweli kadi imekua activated...
Kama iko activated...jaza vzr details wanazozihitaji
Mimi nilitumia CRDB VISA card and everything went well.....
 
sawa nashukuru kwa huo ushauri ngoja nijaribu kufanya hivyo, kwangu mimi natumia Master Card na kuna jambo ningependa unisaidie kwa kuwa unaonekana mzoefu....pale kwenye fomu ya kulink card yako na paypal kuna sehemu ya kujaza Billing Address 1, mimi nilijaza P.O Box yangu, je nilikuwa sahihi?
 
Mkuu pale CRDB ulijaza ile fomu ya kuomba uwe activated kufanya manunuzi online? ulijaza lini?
ndiyo nilijaza fomu ya kuomba kuwa activated, ni mwanzoni mwa mwezi huu sikumbuki tarehe specific ila ni kuanzia tarehe 1 had 5
 
Nina wasiwasi bado hawaja iactivate. nenda tena anza upya mchakato. jaza tena fomu jifanye kama ndio unaenda kwa mara ya kwanza.
 
sawa nashukuru kwa huo ushauri ngoja nijaribu kufanya hivyo, kwangu mimi natumia Master Card na kuna jambo ningependa unisaidie kwa kuwa unaonekana mzoefu....pale kwenye fomu ya kulink card yako na paypal kuna sehemu ya kujaza Billing Address 1, mimi nilijaza P.O Box yangu, je nilikuwa sahihi?
Yes ni P.O.BOX
 
Nina wasiwasi bado hawaja iactivate. nenda tena anza upya mchakato. jaza tena fomu jifanye kama ndio unaenda kwa mara ya kwanza.
nitaenda kumuona aliyenipa fomu ya kujaza anichekie kama kweli imekua activated
 
Nenda kafungu account equity bank, kama hauko kijijini! Huitaji kufanya activation yoyote ukishapewa kadi yako uliyofungua kwa t.sh 10000 tu inakuwa iko tayari nikuweka hela na kununua upendacho mahali popote duninia online
 
Ya kweli hayo mkuu? au tunalishana matango pori
 
Mkuu kwani nikudanganye??? Fika tawi la equity fungua acc yako acha kuangaika na hao CRDB, na nirahisi sana kupokea pesa yako kupitia equity pale itakapotokea umenunua kitu kwa wauzaji matapeli ndani ya 24hrs hela inakuwa imeingia kwenye acc ukifungua kesi kuhusu huyo tapeli
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Back
Top Bottom