big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 425
- 559
Habari wakuu, tangu jana nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kadhaa online kwa kutumia kadi za Mastercard bila mafanikio,
Mwanzoni nilikuwa natumia kadi za mitandao ya simu hola, ikabidi nitumie kadi ya benki yangu, lakini nayo hola..japokuwa njia hizi hizi nilikuwa nikizitumia zamani na malipo yanaenda fresh, kazi bado hazija expire na zina hela.
Ninachojiuliza ni kuwa hili tatizo ninakutana nalo mimi tu, au tupo wengi.
Most of cards zitaandika error occured, au zitasema card details not correct check again and try later.
Msaada wakuu