Kwa watumiaji wa Google Pixel

Tatizo la hii simu yangu ni kwamba hata niki test kwenye audio recorder bado inazingua

Japo kuna muda inakubali lakini huwa haichukui muda mrefu inarudi tena kwenye hali ile ile
Wew nenda kwa fundi ,au bahili mkuu?
 
Basi wasiliana na developer watairekebisha maan zko connected na google
Mkuu nimewasilisha malalamiko yangu na mpaka sasa sijapewa mrejesho

Ila niliangalia nikaona kuna wengi wanlliokutana na changamoto kama hii

Watu 35 wame experience hilo tatizo


Wadau wa Reddit



Utofauti wa huyu mdau na mimi ni kuwa, mimi mic hufanya kazi kwa temporary tu baada ya muda tatizo linarudi tena



Comment ya mwisho ndio tatizo kama langu

 
Duh bhas ni faults tu wao developer hawajatoa solution yoyote ya kutatua tatizo?
 
Hivi kati ya pixel 6 na 6a inautofauti gani pia ipi nzuri msaada please.
 
6 ndo nzuri nzur na kubwa hawa google wanaenda hivi mfano pixel 3 ni ndogo inafata 3a,3xl 4,4a
Pixel 6 ina
Amoled 90hz hdr
Battery 4614
Display size 6.4
Chipset tensor 5nm
128Gb,256Gb


6a
Oled hdr
Display size 6.1
Battery 4410
Chipset G tensor 5
128Gb only

Nenda na pixel 6
 
Wakuu mimi nime rudi kwanza kwenye iphone maana ni kitambo tangu ikiwa ios 15 nilihamia pixel nimerudi huku ili nione utamu wa ios 16 nasubiria watoe 17 nione nayo ipoje Then narudi tena pixel.
Kosa kubwa sana.

😮‍💨😮‍💨😮‍💨
 
Wenyewe wanasema AndroidOne ni smooth na simple tu kutumia. Ni kwa ajili ya wale watu ambao hawana mambo mengi, wao wanajali tu smoothness na simplicity. AndroidOne ina features chache kama tu MyUI ya Motorola, ColorOS ya Oppo, OxygenOS ya One Plus, RealmeUI ya Realme au Funtouch ya Vivo

Lakini mimi napenda software zenye na mambo kibao kama MIUI au One UI
 

Kuwa na mambo machache haina maana ndio iwe mbaya
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…